October 5, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Jumapili ya mechi za kibabe na ushindi kutoka Meridianbet

 

Siku ya leo viwanja vya soka barani Ulaya vinageuka kuwa jukwaa la burudani ya hali ya juu, huku Meridianbet ikiongoza kwa kutoa odds tamu na promosheni za kuvutia kwa kila mechi. Kwa mashabiki wa kubashiri, huu ndio wakati wa kuchukua nafasi na kufurahia ushindi.

Moto wa Serie A unaanza mapema kwa mechi kali kati ya Udinese na Cagliari itakayochezwa mnamo saa 13:30 ikifuatiwa na Bologna dhidi ya Pisa na Fiorentina dhidi ya AS Roma saa 16:00. Saa 19:00, Napoli watachuana na Genoa, kabla ya Juventus na AC Milan kufunga pazia kwa mtanange wa kukata na shoka. Meridianbet inakupa machaguo ya kipekee kwa kila dakika ya mchezo.

Shughuri inaendelea kuwa nzito pale England kwa mechi kali sana. Aston Villa dhidi ya Burnley, Everton na Crystal Palace, Newcastle wao wapo na Nottingham Forest, na Wolves dhidi ya Brighton, zote zikichezwa saa kumi kamili jioni. Brentford nao watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Manchester City. Bashiri na Meridianbet kwa odds za ushindi, magoli, na machaguo mengine mengi.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Ndani ya La Liga napo ni mapambano ya vigogo. Mechi ya Deportivo Alaves na Elche itafungua dimba, ikifuatiwa na Sevilla dhidi ya Barcelona. Saa 19:30, Espanyol watacheza na Real Betis huku Real Sociedad wakimenyana na Rayo Vallecano. Mechi ya mwisho itakua ni Celta Vigo dhidi ya Atletico Madrid. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri kila sekunde ya mchezo.

Nchini Ujerumani, moto unawaka pale VfB Stuttgart wakiwakaribisha FC Heidenheim, Hamburger SV dhidi ya Mainz 05, na Borussia M’gladbach wapo nyumbani kuwasubiri Freiburg kwenye mechi ya kusisimua. Odds za Meridianbet zinakupa faida ya kipekee kwa kila bashiri.

Ligue 1nayo inakupa burudani ya kipekee kwa mchezo wa Lyon anayecheza na Toulouse, wakifuatiwa na AS Monaco dhidi ya Nice, Le Havre nao wapo nyumbani dhidi ya Rennes, na Strasbourg dhidi ya Angers. Usiku, Lille anacheza na Paris Saint-Germain ikiwa ni mechi ya kufunga siku. Bashiri kwenye mechi hizi kwa odds kabambe.

Hii si wikiendi ya kuacha ikupite kinyonge, ni fursa ya dhahabu kwa mashabiki wa soka na kubashiri. Tembelea Meridianbet sasa, chagua mechi zako, weka bashiri zako, na ufurahie ushindi.

About The Author

error: Content is protected !!