
Ni jumanne ya moto barani Ulaya. Viwanja vinajiandaa kwa shamrashamra, mashabiki wanapiga hesabu, na wabashiri wanachambua majamvi yao. UEFA Champions League inarudi kwa raundi ya pili, na Meridianbet inatoa jukwaa la ushindi kwa kila mpenda soka na ubashiri.
Atalanta wanarudi Gewiss Stadium wakiwa na maumivu ya kipigo kutoka PSG. Lakini mbele yao ni Club Brugge waliowasha moto kwa kuichapa Monaco 4-1. Ni mechi ya kurekebisha makosa kwa Atalanta dhidi ya timu iliyotoka kushinda. Odds za Meridianbet zinatoa nafasi ya kuchagua kati ya Waitaliano au Wabelgiji.
Madrid walishinda kwa taabu dhidi ya Marseille, lakini sasa wanakutana na Kairat Almaty waliopigwa 4-1 na Sporting CP. Kwa historia yao na ubora wa kikosi, Los Blancos wanatarajiwa kutawala. Lakini kwa wabashiri, mchezo huu ni fursa ya kutengeneza pesa kwa kuweka machaguo sahihi.
Kwa mashabiki wa soka na wabashiri wa kweli, usiku huu ni wa kuchagua kwa akili na kuweka bashiri sahihi huku michezo mingine mbalimbali ya kasino mtandaoni ikiendelea kutoa matajiri. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujiunga na ushinde sasa.
Diego Simeone anaingia Metropolitano akiwa na deni la mashabiki baada ya kupoteza kwa Liverpool. Frankfurt walionyesha ubabe kwa kuichapa Galatasaray 5-1. Mechi hii ni ya mbinu dhidi ya kasi, na Meridianbet ina odds za kuvutia kwa wanaoamini katika mbinu za Atletico au muendelezo wa ushindi wa Frankfurt.
Tottenham wanatua Norway kukutana na Bodoe/Glimt waliotoka sare ya 2-2 dhidi ya Slavia Prague. Spurs walishinda kwa tabu dhidi ya Villarreal, lakini uwanja wa Arctic ni mtihani wa kweli. Meridianbet inatoa nafasi ya kubashiri ushindi wa ugenini, sare ya kuvutia, au hata idadi ya kona.
Miaka 25 tangu aanze ukocha, Jose Mourinho anarudi Stamford Bridge kama kocha wa Benfica. Chelsea walichapwa 3-1 na Bayern, huku Benfica wakipoteza kwa Qarabag. Mechi hii ni ya Mourinho dhidi ya waajiri wake wa zamani, na Meridianbet inatoa odds za kipekee kwenye mchezo huu.
Liverpool walipambana na Atletico na kushinda 3-2. Sasa wanatua Istanbul kuwakabili Galatasaray waliopigwa 5-1 na Frankfurt. Arne Slot ana kikosi chenye kasi na uzoefu, na odds za Meridianbet zinatoa nafasi ya kubwa kwa Liverpool kuondoka na alama tatu. Nafasi ni yako kusuka jamvi.
Bayern walichapa Chelsea 3-1 na sasa wanakutana na Pafos FC waliotoka sare ya 0-0 dhidi ya Olympiacos. Harry Kane anaendelea kuonyesha ubora wake tangu ajiunge na wajerumani hao, na Meridianbet inatoa odds kabambe kwa wanaotabiri ushindi wa mabao mengi au hata clean sheet.
Usiku huu si wa kuangalia tu, ni wa kushiriki, kwa kuweka jamvi lako la ushindi mapema. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari ya ushindi sasa.
ZINAZOFANANA
Jumatatu ya pesa kwa mechi kubwa za Ulaya ndani ya Meridianbet
Burudani ya soka la Ulaya inakuja na fursa ya utajiri
Jumamosi hii ni Uingereza na nafasi ya ushindi kutoka Meridianbet