
Jumatatu hii, anga la soka barani Ulaya linachukua sura ya ushindani, huku mashabiki wakitazamia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja vya EPL, La Liga na Serie A. Mechi nne zenye uzito wa matokeo na morali zinapigwa leo, na kwa wale wanaotumia Meridianbet, ni zaidi ya burudani, ni fursa ya kujikusanyia mapato kwa maarifa na ujasiri.
Katika dimba la Goodison Park, Everton wanakutana na West Ham kwenye mchuano unaobeba matumaini na presha kwa pande zote. West Ham wanatafuta njia ya kujinasua kutoka mduara wa hatari, huku Everton wakilenga kuutafuta ushindi uwanja wa nyumbani. Kukosekana kwa baadhi ya wachezaji muhimu kunazidisha utata wa matokeo, na kwa wabashiri, huu ni mchezo wa kusukia jamvi pale meridianbet.
Katika jiji la Valencia, timu ya nyumbani inakutana na Real Oviedo waliopanda daraja msimu huu. Ni mtihani wa ubora kwa vijana wa Oviedo dhidi ya wapinzani wenye historia ndefu ya mafanikio. Mestalla itakuwa jukwaa la vipaji na uthibitisho wa uwezo, huku Meridianbet ikitoa machaguo ya kipekee kwa kila hatua ya mchezo.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Katika Serie A, mashabiki wanatarajia mechi mbili zenye ladha ya ushindani na mabadiliko ya msimamo. Parma, wakiwa na rekodi mbovu tangu kuanza kwa msimu, wanakutana na Torino waliodhamiria kujiimarisha. Baadaye, Genoa wanawakaribisha Lazio kwenye dimba la Luigi Ferraris, mechi inayotabiriwa kuwa ya kasi na presha kubwa. Tofauti ya alama moja tu kati ya timu hizi inafanya kila dakika kuwa ya thamani na kwa Meridianbet, kila sekunde ni fursa ya ushindi.
Kwa mashabiki wa kubashiri, leo ni siku ya maarifa na utajiri. Odds za Meridianbet ni moto kama mechi zenyewe, na machaguo ni mengi kuliko kawaida. Tembelea Meridianbet.co.tz au pakua Meridian App sasa.
ZINAZOFANANA
Burudani ya soka la Ulaya inakuja na fursa ya utajiri
Jumamosi hii ni Uingereza na nafasi ya ushindi kutoka Meridianbet
Usiku wa Europa League na fursa za ushindi na Meridianbet