September 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Tusua kibingwa na Meridianbet siku ya leo

 

Baada ya wikendi kushuhudia mitange kibao ya pesa, hatimaye leo hii tena ni nafasi nzuri ya wewe kutengeneza jamvi lako la ushindi. Mechi kibao zinakusubiri wewe, weka dau lako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

LALIGA leo hii kuna mechi moja kali ya kupiga mkwanja ambapo Espanyol Barcelona atakuwa mwenyeji wa RCD Mallorca huku tofauti yao ikiwa ni pointi 6 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake yupo nafasi ya 19. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Je leo nani kuondoka na pointi tatu?. ODDS za mechi hii ni 2.30 kwa 3.45. Bashiri hapa.

Wakati kwa SERIE A kule Italia nako kutakuwa na mechi kali mbili kati ya Hellas Verona vs US Cremonese huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mgeni akiwa na ODDS 2.80 kwa 2.85. Mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni wake nafasi ya 4. Kila timu inahitaji pointi 3 siku ya leo huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pia. Jisajili sasa.

Mechi nyingine ni hii ya Como 1907 dhidi ya Genoa CFC ambapo timu hizi zote mbili zilizpoteza mechi zao zilizopita kwa bao moja kwa moja. Pointi 3 leo hii ni muhimu kwa timu zote mbili hivyo mteja wa Meridianbet tengeneza jamvi lako na uweke mechi hii pia. ODDS za mechi hii ni 1.67 kwa 5.60. Suka jamvi hapa.

Nafasi kubwa ya kushinda ipo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Vilevile LALIGA 2 pia kuna mechi moja siku ya leo Real Zaragoza ataumana dhidi ya Albacete Balompie ambao kushinda 3.15 kwa 2.30. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili mwenyeji alichapika mechi zote mbili, hivyo leo hii anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Je mgeni ataendeleza ubabe wake au mwenyeji atalipa kisasi?. Tengeneza jamvi hapa.

SUPER LIG kule Uturuki nako kuna mechi moja ya kubashiri kati ya Caykur Rizespor dhidi ya Genclerbirligi SK huku wote wakiwa wapo chini kabisa kwenye msimamo wa ligi. Hakuna ambaye ameshinda kwenye mechi zao 3-4 ambazo wamecheza hivyo ushindi wa leo ni muhimu kwa kila timu. Bashiri na Meridianbet ambapo ODDS za mechi hii ni 1.67 kwa 5.20.

About The Author

error: Content is protected !!