
Ni Jumamosi nyingine kabisa ya wewe mteja wa Meridianbet kupiga pesa nyingi kabisa kwani mechi za kubashiri zipo nyingi Duniani kote. Kuna mechi za kufuzu Kombe la Dunia kuanzia Africa mpaka kule Ulaya. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.
LEAGUE ONE kule Uingereza leo hii kuna mechi zinazoendelea Wycombe Wanderers atakipiga dhidi ya Mansfield Town ambao leo hii kushinda mechi hii amepewa ODDS 3.05 kwa 2.27. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili mwenyeji aliondoka na ushindi hivyo mgeni leo hii anataka kulipa kisasi. Je ataweza?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya wewe kuondoka na ushindi ni hii ya Rothernham United vs Exeter City ambao wana pointi 9 hadi sasa, wakati wageni wao wakiwa na pointi 4. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Na leo hii kila timu inahitaji ushindi kwa hali na mali iweze kusogea nafasi inayofuata. Je kwa ODDS 2.27 kwa 3.10 nani anaondoka kifua mbele?. Jisajili sasa.
Maokoto mengi yapo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Moto utawaka katika dimba la Toughsheet Community ambapo Bolton Wanderers watakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya ACF Wimbledon ambapo tofauti yao ni pointi 2 pekee. Mwenyeji kwenye mechi sita ambazo kacheza ameshinda moja pekee huku mgeni wake akishinda tatu pekee. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.53 kwa 6.00. Tandika jamvi hapa.
Lincoln City dhidi ya Wigan Athletic ni mechi ambayo itakupa maokoto mengi siku ya leo. Mwenyeji anashikilia nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi na mgeni wake yupo nafasi ya 13, ambapo wote hawa wanahitaji ushindi siku ya leo. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe. Bashiri mechi hii pale Meridianbet huku ODDS zao zikiwa ni 2.38 kwa 3.15.
Pia Huddersfield Town atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Peterborough United ambao ndio vibonde kwenye ligi wakiwa na pointi moja kwenye mechi sita ambazo wamecheza hadi sasa. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.47 kwa 6.40. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti hapa.
Unaweza ukasuka jamvi mechi ya Port Vale dhidi ya Leyton Orient London 16 huku kwa mwenyeji wake akiwa nafasi ya 23 yaani ya pili kutoka mwisho. Tofauti yao ni pointi 5 pekee huku kwa wakali wa ubashiri nafasi ya kushinda mtanange huu wa leo anapewa Port kwa ODDS 2.25 kwa 3.10. Tengeneza jamvi hapa.
Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi ya Plymouth Argyle dhidi ya Stockport Country FC ambapo mwenyeji akiwa na hali mbaya kwenye msimamo kwani mpaka sasa anashika nafasi ya 21 na mgeni wake akiwa nafasi ya 8. Jisajili na ubashiri mtanange huu wenye ODDS 3.45 kwa 2.04.
Doncaster Rovers vs Bradford City FC ni mechi nyingine ya kuongeza kwenye mkeka wako wa leo. Mechi hii pale Meridianbet imepewa ODDS 2.33 kwa 3.05. Lakini pia ni mechi ambayo mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya mechi zote mbili za mwisho walizokutana kupoteza. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Mike Tyson kurudi ulingoni na Mayweather 2026
Mechi za kufuzu WC Ulaya kukupatia mkwanja leo
Magori mwenyekiti mpya Bodi ya Simba, Barbara ndani