
WATU 800 wamefariki dunia na wengine kadhaa baada ya makazi yao kukumbwa na tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.0 Mw lililitokea katika mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).
Maeneo yaliyoathirika zaidi ni mikoa ya Kunar na Nangarhar ambako vijiji vingi vimeripotiwa kusambaratika.
Majeruhi wanakadiriwa kufikia 2,800 huku juhudi za uokoaji zikitatizwa na maporomoko ya ardhi na barabara zilizozibwa.
ZINAZOFANANA
Hali ya Gaza yazidi kuwa tete, Hamas haina mawasilisno na mateka
Rais wa Malawi akubali kushindwa
Vita vya Ukraine vya chukua sura mpya