
Meridianbet inakuambia hivi, sasa unaweza kuweka jamvi lako kwa mchezaji ambaye unaona anaweza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu sasa. ODDS zao zinaanzia 7.00 na kuendelea hivyo usipitwe na chaguo hili sasa. Suka mkeka wako wa ushindi hapa.
Alexander Isak raia wa Sweeden anapewa nafasi ya 8 kuchukua tuzo hiyo. Toka ajiunge na Magpies kutoka Real Sociedad mchezaji huyo amekuwa msaada mkubwa kwa Eddie Howe akichagia timu hiyo kumaliza nafasi ya 5 msimu huu. Isak amekuwa akahusishwa na kutoka kuondoka klabuni hapo na kwenda kujiunga na Liverpool lakini hadi sasa ripoti zinasema kuwa amerejea Newcastle kwaajili ya kuanza mazoezi baada ya kukosekana kule Asia. Bado dirisha la usajili lianendelea huenda akasalia au akabakia kwani mpaka sasa Euro 120M imekataliwa na matajiri hao. Kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu Isak ana ODDS 11. Bashiri sasa.
Huku Erling Braut Haaland yeye pia ni moja ya wachezaji ambao nao wapo kwenye kinyang’anyiro cha ushindani wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka pale EPL msimu mpya wa 2025/26. Haaland ambaye ni Mnorway msimu uliopita alifunga mabao 22 na assist 3 huku akimaliza nafasi ya 3 kwa wafungaji bora. Lakini ni majeraha ndio yaliyosababisha akafunga mabao machache kwani alifanikiwa kucheza mechi 31 pekee kati ya 38 huenda angefanya vizuri zaidi ya hapo. Bashiri Erling kushinda tuzo hii kwa ODDS 10. Tengeneza jamvi hapa.
Leo hii pesa ipo kubwa sana ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Vilevile Declan Rice ni moja ya wachezaji ambao Meridianbet wamewaweka kuwania tuzo hiyo huku wakimpa ODDS 10 za ushindi. Rice alinunuliwa kwa pesa ndefu sana ambao ni Euro 100M kutoka West Ham United lakini pia amekuwa msaada mkubwa sana ndani ya klabu ya Arsenal. Arteta ana imani sana na kiungo huyo wa Kiingereza ambaye aliweza kuifanya The Gunners watinge Nusu Fainali ya Ligi ya mabingwa. Je msimu huu mpya Rice anaweza kufanya vizuri na kuchukua tuzo hiyo ya PFA?. Jisajili hapa.
Mohamed Salah pia naye akiwa kama ndio mwenye tuzo hiyo, msimu ujao amepewa nafasi ya 5 kuchukua tuzo hiyo akiwa Liverpool. Raia huyo wa Misri ndie aliifanya Liverpool kushinda ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza ambapo alifanikiwa kufunga mabao 29 na kutoa assist 18, yaani akichangia jumla ya mabao 47 na kufanya kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa EPL. Je msimu huu mpya wa 2025/26 Salah ataendeleza moto?. Mbetie Salah kuchukua tuzo hii kwa ODDS 10.00.
Nafasi ya 4 ya kushinda tuzo hiii ya mchezaji bora wa Uingereza inakwenda kwa Cole Palmer kutoka Chelsea ambaye amekuwa ni moja ya wachezaji ambaye ameipa The Blues mafanikio makubwa sana msimu uliopita. Palmer alijiunga klabuni hapo kutoka Man City na ndani ya msimu huo aliweza kuwa mfungaji bora wa klabu, lakini pia kuchukua tuzo ya mchezaji bora klabuni hapo na zingine nyingi. Mchezaji huyu pia aliweza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Kombe la Dunia la vilabu. Je msimu huu Cole anaweza kufanya vizuri na kuchukua tuzo hiyo chini ya Enzo Maresca? 9.00 ndio ODDS za Palmer kuchukua tuzo hiyo. Beti sasa na Meridianbet.
Mchezaji mwingine ambaye anapendelewa na Meridianbet kuchukua tuzo hii pale Ligi kuu ya Uingereza ya mchezaji bora ni Phil Foden ambaye ni raia wa Uingereza akikipiga pale Manchester City. Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 25 ambayo ametimiza leo hii August 5. Chini ya Pep Guardiola amekuwa akifanya vizuri na amechangia mafanikio makubwa kwenye klabu hiyo. Foden kushinda tuzo ya mchezaji bora EPL ana ODDS 9.00. Jisajili hapa sasa.
Nafasi ya pili ya kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa EPL inaenda kwa Florian Wirtz, Mjerumani huyu ambaye amejiunga msimu huu na mabingwa wa EPL Liverpool kutokea kule Ujerumani katika klabu ya Bayer Leverkusen. Wirtz alifanya vizuri kule Ujerumani akichangia jumla ya magoli 31 na klabu yake. Na sasa ametua pale Anfield akitaka kushinda mataji mengine makubwa na Arne Slot. Florian kushinda tuzo ya mchezaji bora ndani ya Meridianbet amepewa ODDS 8.00. Beti yako utampa Wrtz?. Suka jamvi hapa.
Nafasi ya kwanza Meridianbet wanampa Bukayo Saka kutoka pale Arsenal akiwa na ODDS 7.50. Raia huyu wa Uingereza amekuwa mhimili wa klabu hiyo baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa kiwango chini ya Mikel Arteta. Lakini pia wakali hawa wa ubahsiri Tanzania wameamua kumpa nafasi ya kwanza Bukayo kwa kuzingatia usajili ambao timu yao imeufanya. Je wewe unampa nani beti yako?. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Vodacom Corporate Masters yatoa tuzo, zawadi kwa washindi Gofu
Beti ya kinara wa Ligi Christmas unampa nani?
Anza Jumamosi na jamvi kutoka Meridianbet