July 26, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nafasi ya ushindi ipo Meridianbet leo

 

Huku ligi ikiwa mbioni kusogea, Meridianbet inakusisitiza kubashiri mechi zote ambazo zinaendelea ambapo kwasasa kuna mitanange kibao ya kirafiki inapigwa. Timu zipo dimbani kujiweka sawa kabla ya msimu kuanza. Suka jamvi lako hapa.

FC Cologne atamleta kwake Leicester City ambao msimu ujao watakuwa wakikipiga kule Uingereza Championship baada ya kushindwa kusalia EPL. Mwenyeji yeye yupo kule Ujerumani Bundesliga. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.14 kwa 2.75. Bashiri yako unaiweka wapi hapa leo?. Jisajili hapa.

Mtanange mwingine utakuwa ni kati ya Reggiana 1919 vs Alcione Milano ambapo zote hizi zinatokea Italia, hivyo leo zipo uwanjani kupimana uwezo. Mechi hii pia ina machaguo zaidi ya 1000, ni wewe tuu umebaki kutengeneza jamvi lako la ushindi. Nani kuondoka na pointi 3 leo hii?. Bashiri mechi hii huku ODDS zao zikiwa ni 1.40 kwa 6.40.

Saa 2:00 usiku Blackburn Rovers atamenyana vikali dhidi ya Elche CF ambao wamepanda daraja kule Hispania na msimu ujao watakipiga Ligi ya wakubwa yaani LALIGA. Kwa upande wa mwenyeji yeye yupo Championship huku leo akipewa nafasi ya kushinda mechi hii kwa ODDS 2.24 kwa 2.80. Tandika jamvi hapa.

Je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Vilevile mechi nyingine ni hii ya SV Leobendorf atakuwa kibaruani dhidi ya Rapid Wien II ambao wanakipiga kule ligi ya pili kule Austria, huku wenyeji wenyewe wanacheza ligi ya 3. Wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.38 kwa 5.80. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.

AS Saint-Ettiene ataumana dhidi ya Paris FC ambao ndio wamepanda kucheza ligi ya wakubwa msimu huu, yaani LIGUE 1. Wenyeji wao wamerudi kucheza LIGUE 2 baada za kushindwa kufurukuta kubakia kwenye ligi kuu msimu uliopita. Hivyo kila timu inahitaji kushinda leo ili kujua madhaifu ambayo wanayo kwenye kila eneo la uwanja. 2.19 kwa 2.75 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Nao Norwich City watakuwa ugenini kujifua dhidi ya ADO Den Haag ambao wanacheza ligi ya oili kule Uholanzi, halikadhalika kwa wageni nao wanacheza ligi ya 3 kule UIngereza yaani Championship. Nani kuondoka na ushindi leo plae Meridianbet?. Tengeneza jamvi mechi hii yenye ODDS 2.43 kwa 2.38.

ODDS za kibabe zipo mechi hii ya Motherwell FC dhidi ya Hertha Berlin ambao wanakipiga Bundesliga 2. Mwenyeji yupo Ligi kuu ya Scotland huku msimu uliopita wakimaliza nafasi ya 8. Anyepewa nafasi kubwa ya kuondoka mbabe ni mgeni kwa Odds 1.76 kwa 3.80. Beti hapa.

Katika dimba la Curva Fiosole, ACF Fiorentina ya ule Italia Serie A, watawaleta kwao Carrarese Calcio ambao pia ni ya Italia lakini wanacheza Serie B. Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza kusuka jamvi mechi hii yenye ODDS 1.25 kwa 8.20. Suka jamvi hapa.

Pia Sporting Lisbon atakipiga dhidi ya Villarreal CF ya kule LALIGA, ikumbukwe kuwa mwenyeji yeye kule Ureno ndio bingwa wa ligi hiyo, ndio maana hata Meridianbet wameamua kumpa nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.98 kwa 2.85. Unampa pesa yako nani akupe Mamilioni?. Bashiri sasa.

About The Author

error: Content is protected !!