
Kama kawaida ni siku nyingine pendwa kabisa ambapo mechi kibao za kufuzu Europa League msimu ujao zinapigwa. Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo uyatakayo na wewe unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi lako tuu.
Mteja wa Meridianbet unaweza ukabashiri mechi ya FC Banik Ostrava dhidi ya Legia Warszawa ya kule Poland. Meridianbet kwanza wameipa mechi hii ODDS 2.41 kwa mwenyeji kushinda na 2.85 kwa mgeni kushinda. Suka jamvi lako mtanange huu wa kufuzu kwa michuano ya Europa League mkondo wa kwanza.
Mechi nyingine ya kusukia jamvi ni hii ya FC Shariff Tiraspol dhidi ya FC Utrecht ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.77 kwa 4.60. Timu hizi mbili hazijawhai kukutana kwenye mashindano yoyote yale. Leo hii kila mtu anataka kuonesha ubora wake. Je nani kuibuka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.
Tengeneza pesa ya haraka na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
FC Midtjyland ataumana vikali dhidi ya Hibernian FC ya kule Scotland huku wenyeji wao wakiwa wanakipiga katika ligi ya Denmark. Wachezaji wakiwa wanagombania nafasi ya kushinda, wewe leo hii tengeneza pesa kwenye mechi hii. 1.33 kwa 8.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Naye Braga atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya PFC Levski Sofia ambao inakipiga kule Bulgaria. Mwenyeji yeye anacheza ligi kuu ya Ureno ambao ndio wanapewa nafasi kubwa ya kushinda leo hii wakiwa na ODDS 1.70 kwa 5.00. Bashiri yako unaiweka wpai kwenye hizi timu mbili?. Beti hapa.
RSC Anderletch atamkaribisha kwake Hacken ambaye naye anataka kushinda mechi hii ya leo kinguvu kabisa. Mechi hii ndani ya Meridianbet imepewa machaguo zaidi ya 1000 ikiwemo faulo, kona, na menginenyo. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kubashiri mtanange huu sasa.
Vilevile unaweza kutengeneza pesa kwenye mechi ya NK Celje vs AEK Larnaca huku ODDS za mechi hii ikiwa ni 2.55 kwa 2.90. Nafasi ya kushinda leo hii amepewa mwenyeji. Je mgeni anaweza kupata ushindi ugenini?. Suka jamvi hapa.
Halikadhalika Besiktas Instanbul atakuwa mwenyeji wa Shakhtar Donetsk ya kule Ukrain huku anayepewa nafasi ya kuondoka kifua wazi akiwa ni mwenyeji kwa ODDS 2.40 kwa 2.90. Wewe beti yako unaiweka wapi kwa hawa wawili?. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Nafasi ya ushindi ipo Meridianbet leo
NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma
Orphanage Centre yafurahia ujio wa BITTECH na KMC