
LIGI mbalimbali zinatarajiwa kuanza mwezi ujao katikati huku tayari wakali wa ubashiri Meridianbet wakikuwekea timu zote na ODDS za kushinda ligi kuu. Lakini hizi ndio ambazo mojawapo ataondoka na taji hilo.
Timu nyingi zinaendelea na usajili mkali huku Manchester United wao wanaenda mwendo wa polepole kwani licha ya kuishia nafasi ya 16 wamesajili wachezaji wanne mpaka sasa Matheus Cunha kutoka Wolves, Diego Leon, Enzo Kana- Biyik, na Bryan Mbeumo kutoka Brentford. Kikosi kinazidi kusukwa pale Old Trafford chini ya kocha mkuu Ruben Amorim.
Je mpaka sasa unafikiri United inaenda kushindania taji la ligi kuu ya Uingereza?. Wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa Man U ODDS 37 kushinda ligi kuu. Je Mashetani Wekundu wanaweza kushinda?. Au watamaliza nafasi ya ngapi?. Beti hapa.
Kwa upande wa Arsenal nao wapo kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu wa 2025/26 baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 21, na kumaliza nafasi ya 2 mara tatu mfululizo. Vijana hao ambao wananolewa na Mikel Arteta wanahitaji kushinda taji hilo ambalo wana hamu nalo kwa muda mrefu huku wakipewa ODDS 3.20 kushinda.
The Gunners kutoka London wamefanya sajili za wachezaji kama ifuatavyo Kepa Arrizabalaga kutoka Chelsea, Martin Zubimendi kutoka Real Sociedad, Christian Norgaard kutoka Brentford, Noni Madueke kutoka Chelsea. Je wachezaji hao wataisadia The Gunners kubeba taji la ligi?. Bashiri bingwa hapa.
Ukiwa na Meridianbet unaweza kupiga pesa fasta ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Bingwa mtetezi wa EPL Liverpool chini ya kocha mkuu Arne Slot timu yao baada ya kumuachia beki wao Trent Arnold wao pia kujiweka sawa wamefanya usajili wa baadhi ya wachezaji akiwemo Florian Wirtz, Jeremy Frimpong kutoka Bayer Leverkusen, Milos Kerkez kutoka Bournemouth, Armin Percsi kutoka Puskas Akademia, Giorgi Mamardashvili, Freddie Woodman.
Hao ni baadhi ya wachezaji ambao ambingwa hawa wamewasajili mpaka sasa. Pale Meridianbet Liverpool kushinda ubingwa wa EPL amepewa ODDS 2.95. Je Jogoo wa Anfield anaweza kutetea taji lake?. Bashiri hapa.
Timu nyingine ni hii ya Manchester City ambao licha ya kuwa na msimu mbaya katikati huku baadhi wa wachambuzi na mashabiki wakiwaondoa kabisa kumaliza nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi, vijana hawa wa Pep Guardiola waliwashangaza wengi baada ya kumaliza ya 3.
City wamefanya usajili wa Rayan Aït‑Nouri kutoka Wolves, Rayan Cherki kutoka Lyon, Tijjani Reijnders kutoka AC Milan, Marcus Bettinelli ambaye ni golikipa. Nafasi ambayo anapewa City kubeba ubingwa pale Meridianbet ni 3.90. Wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Jisajili hapa.
Vilevile mabingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu Chelsea nao wameingia tena sokoni kama kawaida yao huku wakiwaleta Joao Pedro kutoka Brighton, Gittens kutoka B. Dortmund, Kendry Paez, Liam Delap kutoka Ipswich, Dario Essugo kutoka Sporting Lisbon, na wengine wengi. Vijana hawa wa Darajani msimu uliopita wameshika nafasi ya 4 ambayo itawafanya wacheze UEFA.
Huku ukijiuliza kuwa Chelsea wanapeleka wapi wachezaji ambao wanasajili ni kwamba wanataka taji la ligi kuu ambalo mara ya mwisho kuchukua ilikuwa 2017 ambapo Meridianbet wamempa ODDS 8.65. Suka jamvi hapa.
Timu nyingine ambayo ipo kwenye mbio za ubingwa ni hii Tottenham Hot Spurs ambayo yenyewe imesajili mpaka kocha mpya ambaye ni Thomas Frank kutoka Brentford, Kevin Danso kutoka Lens, Mohamed Kudus kutoka West Ham, Mathys Tel kutoka Bayern, Kota Takai kutoka Japan na wengine kibao.
Ukiachana na United hii ni moja ya timu ambayo ilikuwa na msimu mbovu sana licha ya kushinda EUROPA LEAGUE ilimaliza nafasi ya 17 ikipata nafasi ya kucheza UEFA msimu ujao. Spurs inajaribu kutengeneza timu tena huku ikitarajia makubwa msimu ujao. 50 ndio ODDS ya Spurs kubeba ndoo. Je ataweza?. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Vodacom, Jubilee Allianz Tanzania wajipanga ‘kuinogesha’ NBC Dodoma Marathon, wakabidhiwa jezi
Pande Marathon haijapata kutokea
Bashiri na Meridianbet mechi za Europa na Conference leo