
Mwezi huu wa 6 ni promosheni juu ya promosheni ambapo leo hii Meridianbet wamekuja na promosheni ya Sport ambapo mechi za Kombe la Dunia la Vilabu zinaendelea hivyo ukibashiri kwa kutumia GG&3+ mechi ya Inter Miami vs FC Porto unapata faida mara mbili yake.
Mashindano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu bado yamepamba moto vibaya mno ambapo timu zinaonesha ubabe wa hali ya juu. Mpaka sasa timu ambazo zinatoka bara la Ulaya bado zinaendelea kuonesha umwamba wao kwenye haya mashindano.
Meridianbet wamemua wasikuache hivi hivi wamekuja na promosheni kali sana ambayo unaweza ukashinda mara mbili zaidi ya kile ambacho ulikuwa unakitarajia ukibashiri mechi ya Inter Miami ambao ni wenyeji wa mashindano haya dhidi ya FC Porto.
Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 19 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Inter Miami vs FC Porto kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya Inter Miami vs FC Porto (kiasi cha chini 10000 TZS), atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Sharti la bonasi hiyo ni kuwa lazima mechi ya Inter Miami vs FC Porto imalizike kwa timu zote mbili kufunga na jumla ya magoli kuwa angalau 4.
BONASI YA 2
Kama mchezo wa Inter Miami vs FC Porto ukimalizika 0-0
● Mchezajia atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000)
● Sharti la bonsai hii; Mchezo wa Inter Miami vs FC Porto lazima umalizike kwa suluhu yaani 0-0
● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.
ZINAZOFANANA
Ligi Kuu Uingereza kurejea Agosti 15, wabashiri wa Meridianbet kaa tayari
Real Madrid vs Al Hilal kukupatia faida mara 2 leo
Sanlam Insurance kutumia Mbio za NBC Dodoma Marathon kufikisha elimu ya Bima