June 14, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Michuano ya COSAFA kuendelea leo

Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuendelea leo kwa hatua ya nusu fainali ambapo Angola atacheza dhidi ya Madagascar mnamo muda wa saa kumi jioni huku mwenyeji wa michuano hiyo, Afrika kusini atakua dhidi ya Comoro mchezo utakaochezwa saa moja kamili jioni. Meridianbet imekuwekea Mechi zote zikiwa na odd kubwa na machaguo Zaidi ya 800.

Madagascar wamefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali baada ya kuibuka kinara wa kundi C wakiwa na pointi 4 walizozipata baada ya ushindi dhidi ya Tanzania, na sare dhidi ya Eswatini. Nafasi ya pili ikishikiliwa na Tanzania waliopata alama 3 kwa ushindi dhidi ya Eswatini na kupoteza dhidi ya Madagascar, huku Eswatini wakishikilia mkia wa kundi hilo kwa alama moja waliyoipata baada ya sare dhidi ya Madagascar.

Angola wao wameibuka vinara wa kundi B lililoundwa na timu za Namibia, Lesotho na Malawi wakiwa na alama 7, kisha Namibia alama 5, Lesotho alama 3 na Malawi akishikilia mkia kwa alama moja baada ya kukosa ushindi kwenye mechi 2 na kuambulia sare dhidi ya Namibia. Bila kusahau, michezo yote hii ilikua na nafasi kubwa ya wewe kutengeneza pesa kubwa kwani ilikua na odd kubwa pale Meridianbet.

Piga pesa kwenye michuano hii ya COSAFA kwa kubashiri na Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Mwenyeji wa michuano hiyo, Afrika Kusini, yeye alikua kinara wa kundi A, kwa utofauti wa magoli ya kufungana na wapinzani wake Zimbabwe na Msumbiji baada ya wote kulingana kwa alama nne, huku Mauritius akimaliza wa mwisho kwa alama 3 baada ya kupata sare kwenye michezo yake yote.

Comoro yeye alimaliza kinara wa kundi D akiwa na alama nne, akizibwaga Botswana aliyokua na alama mbili pamoja na Zambia waliomaliza michuano hiyo wakiwa na alama moja baada ya kupoteza mchezo mmoja na kupata sare moja.

Odd ya 1.95 imewekwa pale Meridianbet kwa Angola kushinda mchezo huo, huku Madagascar yeye akipewa Odd ya 4.50. Kwa mchezo wa pili, Afrika kusini akiwa mwenyeji amepewa Odd ya 1.75 huku mpinzani wake Comoro akiwa na 5.40. Kwa mbashiri yeyote yule, hii ni nafasi ya kusuka mkeka wako na Meridianbet kwa kufanya machaguzi sahihi kuelekea michezo hii ya nusu fainali ya COSAFA.

About The Author

error: Content is protected !!