June 4, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Uefa 2024/25, historia imeandikwa na washindi wameibuka

MSIMU wa 2024/25 wa michuano ya Uefa umekua wa kitofauti si kwa sababu ya matokeo tu, bali ni kwa namna soka lilivyobadilika ndani ya miezi tisa ya ushindani ndani ya bara la ulaya. Mashabiki walitazama, timu zikapambana lakini pia wale waliobashiri na Meridianbet walijishindia.

Psg kwa mara ya kwanza katika historia yao, wamefanikiwa kutwaa kombe kubwa kuliko yote linalotamaniwa na kila timu barani Ulaya. Matokeo ya uthubutu, Imani kwa vijana na mbinu sahihi yanampa Luis Enrique taji hilo na kumfanya kocha wa kwanza katika historia ya PSG kutwaa kombe hilo huku akisifika kwa namna alivyoweza kutumia vipaji vikubwa vya vijana chipukizi wasiokua na majina makubwa barani ulaya dhidiya timu zenye majina makubwa na zilizokua zikitizamiwa kutwaa kombe hilo. Wale waliobashiri ushindi huu na Meridianbet wameweza kupiga pesa nyingi sana

Mechi ya ligi kuu Kenya, Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, na mingine kibao.

Europa league, Spurs naye amefanikiwa kuondokana na ukame wa kutokuchukua taji lolote la ulaya kwa miaka mingi mara baada ya kutwaa kombe la Europa mara baada ya kumfunga 1-0 Manchester United. Spurs walikua na mfumo thabiti wa kukaba kwa haraka (press and break) kushambulia kwa kasi mara baada ya kurejesha umiliki wa mpira. Nguzo kubwa ya ushindi ikitegemea pasi za haraka, ubunifu wa mawinga pamoja na uimara wa safu ya ulinzi huku Ange Postecoglou akihakikisha kila mchezaji anajua na kuzingatia jukumu lake rasmi (tactical discipline). Usichelewe kujisajili na Meridianbet ili uweze kuwa mmoja wa wafaidika wa michezo inayoendelea hivi sasa

Kwingineko kwenye Conference league, katika kile kinachoitwa ukusanyaji wa mataji yote ya Uefa, Chelsea wameandika historia kwa kushinda Conference league na kuwa timu ya kwanza barani ulaya kutwaa kila taji la Uefa. Ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Real Betis ulikua uthibitisho kwamba hivi sasa Chelsea ana rekodi yake ya kutamba nayo barani Ulaya huku akijivunia kuwa na kikosi kipana chenye muunganiko wa hali ya juu. Wakati timu zikitafuta vikombe, wale wabashiri waliojisajiri na Meridianbet walikua wakikusanya pesa zao.

Kwa ujumla matokeo haya ya hizi timu yametukumbusha kwamba kwa sasa tumehama kutoka kwenye utegemezi wa majina makubwa ili kupata matokeo ya mchezo na badala yake soka la sasa limekua ni vita ya kimbinu baina ya walimu na timu kwa ujumla. Endelea kuweka bashiri zako kupitia Meridianbet kwani ligi zimeisha lakini mechi bado zipo ndani ya Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!