May 17, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nafasi ya kuwa milionea unayo leo

JUMAMOSI ya kibabe imefika leo ambapo mechi kali za pesa zitapigwa kwenye viwanja mbalimbali. Suka jamvi lako lenye mechi za ushindi sasa na uibuke bingwa hapa.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA inatamatika siku ya leo hivyo mechi zote zinapigwa leo FC Augsburg atakipiga dhidi ya Union Berlin ambao wapo nafasi ya 11 kwa 13. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi?. ODDS za mechi hii ni 2.15 kwa 3.40. Bashiri hapa.

RB Leipzig ataumana dhidi ya VFB Stuttgart ambapo tofauti yao ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana RB alipigika hivyo leo hii yupo nyumbani kusaka kulipa kisasi. Wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.94 kwa 3.45. Jisajili hapa.

Jumamosi ya kushinda mkwanja leo hii imefika ndani ya Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Bingwa wa ligi Bayern Munich atakuwa ugenini kucheza dhidi ya TSG Hoffenheim ambao wapo nafasi ya 4 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Kompany na vijana wake wanataka kumaliza ligi kwa ushindi. Bashiri mechi hii yenye ODDS 5.00 kwa 1.55.

Mtanange mwingine wa moto utakuwa huu wa FSV Mainz dhidi ya Bayer Leverkusen ambao wapo nafasi ya 2. Wenyeji wao wapo nafasi ya 6 huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet akipewa Mainz kwa ODDS 2.41 kwa 2.70. Jisajili hapa.

Kwa upande wa SC Freiburg yeye atatunishana mbavu dhidi ya Eintracht Frankfurt ambao kila timu inahitaji hizo pointi 3 icheze Ligi ya mabingwa msimu ujao. Tofauti yao ni pointi 2 pekee. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Mechi hii imepewa ODDS 2.33 kwa 2.95. Suka jamvi hapa.

Vilevile ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 leo hii inafika tamati hivyo isikuache bila pesa beti mechi ya RC Lens vs AS Monaco ambapo tayari mgeni ana uhakika wa kucheza UEFA msimu ujao. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 3.10 kwa 2.16.

Lille ataumana dhidi ya Stade Reims ambao mechi iliyopita, walipigika halikadhalika kwa mwenyeji naye alipigika. Hivyo leo hii pointi 3 ni muhimu kwa timu zote. Je nani unampa pesa yako akupe mkwanja wa maana?. 1.42 kwa 7.80 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Huku Marseille yeye atakuwa mwenyeji wa Stade Rennes ambao leo hii wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana. Je mwenyeji atakubali kupokea kichapo akiwa nyumbani kwake mbele ya mashabiki zake?. Beti mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Naye bingwa wa ligi PSG atakuwa kwake pale Parc des Princes kupepetana dhidi ya AJ Auxerre ambao hawapewi nafasi ya kuibuka na ushindi leo wakipewa ODDS 15. Vijana wa Luis Enrique wamepewa 1.17 kushinda mtanange huu. Bashiri sasa.

About The Author

error: Content is protected !!