May 3, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Piga mshiko wa maana leo

Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Tukianza na BUNDESLIGA kule Ujerumani FC Heidenheim atakuwa na kibarua cha kukipiga dhidi ya FC Bochum ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 16 huku anayepewa nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet ni 2.35 kwa 3.05. Tandika jamvi hapa.

Ligi nyingine ambayo itaendelea ni SERIE A kule Italia, Torino uso kwa uso dhidi ya Venezia ambao wapo nafasi ya 3 kutoka mwisho. Mwenyeji mechi iliyopita alipigika halikdhalika kwa mgeni wake. Hivyo basi mechi ya leo ni muhimu kwa timu zote mbili kila mtu anataka ushindi. 2.45 kwa 3.35 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Timiza ndoto zako na Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

SAUDI ARABIA ligi kuu itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Al Ettifaq ataumana dhidi ya Al Khaleej ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Mwenyeji alishinda mechi ya kwanza walipokutana. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.96 kwa 3.35. Jisajili hapa.

Al Fayha FC atapepetana dhidi ya Damac FC ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye alitoa sare mechi yake iliyopita. Ni pointi 1 ambayo wanatofautiana huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akiwa ni mwenyeji kwa ODDS 1.85 kwa 4.50. Tandika jamvi hapa.

Nao Al Qadsiah watakuwa na kibarua cha kuumana dhidi ya Al Kholood ambapo mechi ya mkondo wa kwanza kukutana mwenyeji alishinda kwa kishindo. Je mgeni anaweza kulipa kisasi na yeye akiwa ugenini?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.

Kule Uingereza, EPL leo hii itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Manchester City watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Wolves ambao wapo nafasi ya 13 huku mechi ya mkondo wa kwanza kukutana timu hizi mbili Pep Guardiola na vijana wake waliondoka na ushindi. Ikumbukwe kuwa City anahitaji sana ushindi huu ili ashiriki UEFA msimu ujao. ODDS za mechi hii ni 1.42 kwa 7.20. Bashiri hapa.

Vilevile kule Hispania LALIGA itaendelea kwa mechi moja kali kati ya Rayo Vallecano vs Getafe ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 ambapo mwenyeji ni wa 11 na mgeni wake anashika nafasi ya 12. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe. Je leo hii pointi 4 zitaenda wapi au watagawana tena?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.45 kwa 3.35. Jisajili hapa.

LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi ya kubashiri, OGC Nice baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Reims ambao walitoa suluhu mechi yao iliyopita. Mechi hii imepewa ODDS 1.45 kwa 6.40 pia kuna machaguo zaidi ya 1000 hapa. Bashiri hapa.

About The Author

error: Content is protected !!