April 27, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Zaidi ya mamilioni kutolewa na Meridianbet leo

Je unajua kuwa zaidi ya Mamilioni ndani ya Meridianbet yanatarajiwa kutolewa siku ya leo?. Ili kujua basi bashiri hapa mechi zote za ligi mbalimbali na uweke dau lako uamke tajiri hapo kesho.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 inatarajiwa kuendelea hii leo ambapo Angers atakipiga dhidi ya Lille huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 23. Mtanange wa mwisho kukutana, mgeni alishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. 6.40 kwa 1.5 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Wakati RC Lens wao watamenyana dhidi ya AJ Auxerre ambao wapo nafasi ya 11 na mwenyeji wao nafasi ya 8. Mwenyeji anahitaji ushindi halikadhalika kwa mgeni wake. Anayepewa nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.60 kwa 5.40. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.

Nantes atakuwa uso kwa uso dhidi ya Toulouse ambapo mechi ya mwisho walitoa suluhu. Tofauti yao ni pointi 3 pekee huku nafasi ya kushinda leo akipewa mgeni kwa 2.50 kwa 2.95. Lakini pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi lako la ushindi hapa.

Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa Milionea leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

EPL leo hii Manchester United atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya AFC Bournemouth ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 11 pekee. Mechi ya mwisho kukutana, vijana wa Amorim walipasuka. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi kwa ODDS 1.80 kwa 4.30. Bashiri hapa.

Wakati hapo baadae Liverpool watakuwa nyumbani kusaka sare pekee dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambayo itawafanya wawe mabingwa wa EPL leo. Ikumbukwe kuwa mtanange wa mwisho kukutana, Arne Slot na vijana wake waliibuka wababe. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.30 kwa 8.60. Je Spurs kuwacheleweshea Liverpool ubingwa leo?. Jisajili hapa.

Kule Ujerumani BUNDESLIGA kuna mechi zitaendelea ambapo VFL Bochum atamkaribisha kwake Union Berlin ambao mechi iliyopita wametoka kutoa sare, huku wenyeji wao wakipigika. Mwenyeji anapendelewa kushinda mechi hii kwa ODDS 2.40 kwa 3.00. Je beti yako unaiweka wapi?. Tengeneza jamvi hapa.

Naye Werder Bremen atamleta kwake FC St. Pauli ambao wapo nafasi ya 14, huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 8. Je mwenyeji kuendeleza ubabe wake baada ya kushinda mechi ya kwanza walipokutana?. 2.00 kwa 3.75 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

SERIE A nayo itaendelea kuvurumishwa vilivyo ambapo Inter Milan vinara wa ligi watamkaribisha AS Roma ambao wamechwa pointi 14 hadi sasa. Inzaghi anahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni, Je Roma wanaweza kupata ushindi ugenini?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.85 kwa 4.40. Tandika jamvi hapa.

Fiorentina atamualika kwake Empoli ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoshana nguvu. Kila timu inahitaji pointi 3 leo huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 1.95 kwa 4.30. Wewe beti yako unaiweka wapi?. Tengeneza jamvi hapa.

Kwa upande wa Atalanta yeye atakichapa dhidi ya Lecce ambao wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi zao 26 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 3 na pointi zao 64. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.27 kwa 11. Bashiri sasa.

Vijana wa Conte Napoli watakuwa nyumbani kupepetan dhidi ya Torino ambao wametoka kushinda mechi yao halikadhalika kwa mwenyeji anye kashinda. Naples wanataka ubingwa hivyo ushindi wa leo ni muhimu sana kwao. Mechi hii imepewa ODDS 1.45 kwa 8.00. Beti hapa.

About The Author

error: Content is protected !!