April 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Jumapili hii bashiri na Meridianbet

 

BAADA ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, basi na leo ni kama kawaida kuna mechi kali sana za kukupatia ubingwa. Ili kupiga pesa hizi ingia Meridianbet na ubashiri sasa.

Tukianza na Ligi ya Hispania LALIGA leo hii kuna mitanange ya kukata na shoka CA Osasuna atakipiga dhidi ya Girona ambao timu hizi zimepisha pointi moja kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi nyumbani?. Mechi hii imepewa ODDS 2.25 kwa 3.00. Bashiri hapa.

Real Madrid baada ya kupigika mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani, leo hii watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Deportivo Alaves ambao wanashika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Pointi 3 ni muhimu kwa Real huku Meridianbet wakiwapa nafasi kubwa ya kushinda wageni kwa ODDS 1.70 kwa 4.90. Je beti yako unaiweka wapi?. Jisajili hapa.

Mechi kali nyingine ni hii ya Real Betis vs Villarreal ambao wametoka kutoa suluhu huku kwa wenyeji wao wakitoa sare. Wote wana pointi sawa kwenye msimamo wa ligi huku kwa wakali wa odds kubwa Meridianbet anayependelewa kuondoka na pointi 3 ni mwenyeji akiwa na ODDS 2.30 kwa 3.15. Suka jamvi hapa.

Maliza wikendi na Meridianbet kwa kubashiri mechi za leo ambapo pesa nyingi kutolewa siku hii. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Ligi pendwa Duniani EPL leo hii pia ipo kwaajli ya kukupatia mkwanja Chelsea atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Ipswich Town ambao mechi ya kwanza walipata ushindi nyumbani kwao. The Blues wanaitafuta Top 4 kwa hali na mali huku ODDS za ushindi kwao zikiwa ni 1.27 kwa 11. Je wageni watawazuia kushinda na leo?. Jisajili hapa.

Liverpool ya Arne Slot baada ya kupigika mechi iliyopita, leo hii watakuwa Anfiled kusaka ushindi dhidi ya West Ham United ambao wapo nafasi ya 16. Jogoo anahitaji ushindi mechi ya leo kuukaribia ubingwa. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.33 kwa 8.80.

Nao vijana wa Amorim Manchester United watakuwa ugenini loe dhidi ya Newcastle United ambao wanahitaji kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao. United wao wanatafuta ushindi angalau msimu huu wamalize top 10. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho walipokutana, United alipigika hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi. Beti mechi huku ODDS zake zikiwa ni 1.72 kwa 4.70.

Unaweza ukasuka jamvi pia mechi za SERIE A kule Italia, ACF Fiorentina atachuana avikali dhidi ya Parma Calcio huku wageni hawa wakiwa wanashikilia nafasi ya 16 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na ushindi. Bashiri hapa ODDS za mechi hii ni 1.78 kwa 4.70.

Torino wao watakuwa kibaruani dhidi ya Como 1907 ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 7 huku mgeni akishinda mechi ya kwanza walipoonana. Mwenyeji anataka kulipa kisasi leo akipewa ODDS 1.85 kwa 4.50. Jisajili hapa.

Mechi kali leo Italia ni hii ya Lazio Rome vs AS Roma ambao leo hii nafasi ya wao kuondoka na ushindi pale Meridianbet ni 2.65 kwa 3.05. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi huku tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Nani kukupatia ushindi leo?. Beti hapa.

About The Author

error: Content is protected !!