
Meridianbet inakwambia hivi, siku ya leo ni rahisi sana kwako wewe kuondoka na mpunga wa maana kwani mechi kibao zipo uwanjani kuanzia pale Uingereza mpaka kule Italia. Ingia na ubashiri hapa.
EPL pale Uingereza mapema kabisa Manchester City atakuwa mwenyeji wa Crystal Palace ambapo mechi ya mkondo wa kwanza, walitoa sare huku leo hii pale Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda City akiwa na ODDS 1.60 kwa 5.20. Je vijana wa Pep Guardiola watashinda leo?. Bashiri hapa.
Nao Southampton ambao tayari wameshuka daraja watawakaribisha kwako Aston Villa ya Unai Emiry ambao wapo nafasi ya 7. Tofauti ya pointi kati yao ni 41 pekee huku takwimu zikionesha kuwa mechi 3 za mwisho ni goli moja pekee limepatikana. Je leo hii kwa ODDS ya 5.80 kwa 1.57, magoli mengi yatapatikana?. Jisajili hapa.
Hapo baadae Arsenal baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watakichapa dhidi ya Brentford ambao wao walitoa suluhu. Meridianbet wao wanampa nafasi ya upendeleo mwenyeji kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.70 kwa 5.00. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi hapa.
Wikendi ndiyo hiyo inaanza ambapo pesa nyingi kutolewa na Meridianbet. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Kule Italia SERIE A kitawaka vilivyo Venezia ataumama vs AC Monza ambapo mwenyeji mechi iliyopita alitoa sare, huku mgeni wake akipigika. Leo hii kila timu inahitaji ushindi huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 1.80 kwa 4.80. Bashiri hapa.
Nao vinara wa ligi Inter Milan baada ya kulazimishwa sare mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Cagliari ambao walitoa suluhu. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana, vijana wa Inzaghi walishinda. Je leo hii wataendeleza ushindi?. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 1.37 kwa 8.80.
Juventus uso kwa uso dhidi ya US Lecce huku tofauti yao ikiwa ni pointi 30. Bibi Kizee anahitaji ushindi ili ajiweke vyema kwenye mbio za kumaliza nafasi 4 za juu kabla msimu hujaisha. Huku kwa upande wa mgeni yeye anatafuta ushindi kuondoka kwenye nafasi ya chini aliyopo. 1.38 kwa 9.40 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Vilevile LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo UD Las Palmas atasafiri kuchuana vikali dhidi ya Getafe ambao leo hii ndio wanaopendelea kushinda mchezo huu wakiwa na ODDS 1.77 kwa 5.20. Je wewe unampa nani beti yako akupe ushindi?. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Celta Vigo yeye atakipiga dhidi ya Espanyol Barcelona ambao wanashikilia nafasi ya 16 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 7. Mwenyeji anataka kulipa kisasi leo hii baada ya mechi ya kwanza kupigika walipokutana. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Beti mechi hii.
Vijana wa Hans Flick Barcelona watakuwa ugenini kutafuta pointi 3 za kuzidi kujikita kileleni dhidi ya CD Leganes ambao wapo nafasi ya 3 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 8.60 kwa 1.33. Suka jamvi hapa.
Halikadhalika BUNDESLIGA kule Ujerumani itaendelea leo hii kwa mechi kibao za pesa Bayer Leverkusen atakipiga dhidi ya Union Berlin ambao wapo nafasi ya 13 huku vijana wa Alonso wakiwa nafasi ya 2. Mwenyeji kama bingwa mtetezi anataka ushindi apunguze gepu na kinara wa ligi. Je mgeni atamzuia?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.
VFL Bochum vs FC Augsburg ni mechi ya kukupa mzigo leo ambapo mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili mgeni aliondoka na pointi 3. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani kwake?. 2.25 kwa 3.35 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Ujerumani leo kutakuwa na Der Klassiker kati ya Bayern Munich vs Borussia Dortmund ambapo mara ya mwisho kuonana walitoa sare. Timu zote zimetoka kupoteza mechi za ligi ya mabingwa. Je leo nani atadondosha pointi tena?. Bashiri mechi hii yenye 1.55 kwa 5.20.
ZINAZOFANANA
Watanzania wahimiza kufanya mazoezi kwa Afya
Siku ya kuondoka na mshindo ni leo
Pesa zipo na Meridianbet leo