
WAJANJA wa odds kubwa Tanzania, Meridianbet wanakwambia hivi Jumapili ya leo ndio siku nzuri kwa wewe kuondoka na kitita cha pesa kwani mechi zipo nyingi zinazopigwa. Unangoja nini? Ingia Meridianbet na ubashiri hapa.
LALIGA leo hii kuna mechi za pesa ambapo Barcelona baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Girona ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi, Barca aliondoka na ushindi. Je leo hii vijana wa Hans Flick kuendeleza ubabe?. Mechi hii imepewa ODDS 1.27 kwa 9.80. Bashiri hapa.
Pia mechi nyingine ni hii ya Athletic Bilbao vs CA Osasuna ambao wapo nafasi ya 14 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 4. Tofauti ya pointi kati yao ni 19. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.53 kwa 6.80. Jisajili hapa.
Naye Real Betis atakuwa uso kwa uso dhidi ya Sevilla majira ya saa 4:00 usiku, katika dimba la Benito Villamarin. Betis mechi iliyopita ameshinda wakati kwa Sevilla yeye amepoteza hivyo pointi 3 za leo ni muhimu sana kwake. Mechi hii ina ODDS 1.94 kwa 4.40. Suka jamvi hapa.
Kuwa Milionea Jumapili hii na Meridianbet. Bashiri mechi za leo lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Pia Italia pale SERIE A itaendelea ACF Fiorentina atakipiga dhidi ya Atalanta ambapo tofauti yao ni pointi 10 pekee. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliasuka hivyo leo hii ni siku yake ya kulipa kisasi. Je vijana wa Gasperin wataibuka na ushindi kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa?. 3.45 kwa 2.20 ndio ODDS za mechi hii. Beti hapa.
Hapo baadae Inter Milan watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 10. Inter chini ya kocha mkuu Inzaghi wapo nafasi ya kwanza huku ushindi huu leo utawafanya wazidi kusalia kileleni. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 1.45 kwa 7.80.
Mechi kali kabisa Italia leo ni Napoli vs AC Milan ambao wana kazi ya kufukuzia top 4 msimu huu. Napples wao wapo kwenye kuwania mbio za ubingwa wakiwa pointi 3 nyuma ya kinara wa ligi. Je nani kuondoka kifua mbele pale Diego Armando Maradona?. 1.97 kwa 4.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Vilevile Ufaransa LIGUE 1 kitapigika leo Angers atamenyana dhidi ya Stade Rennes ambapo tofauti yao ni pointi 2 pekee. Wote wametoka kupigika mechi zao zilizopita, hivyo leo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Je beti yako unampa nani kati yao?. 3.80 kwa 2.04 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.
Kwa upande wa Le Havre yeye atacheza dhidi ya FC Nantes ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.42 kwa 3.05. Mgeni mechi ya mwisho walipokutana alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Bashiri hapa.
Ufaransa leo hii kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambapo Lille ataumana dhidi ya RC Lens ambapo timu hizi mbili zimetofautiana pointi 5. Mwenyeji anashika nafasi ya 7 na mgeni wake nafasi ya 8. Wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Mechi hii ina ODDS 2.16 kwa 3.65. Tengeneza jamvi hapa.
ZINAZOFANANA
Tandika jamvi mechi za Ijumaa leo
NBC yashiriki uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars
Suka jamvi lako na Meridianbet leo