
Baada ya wikendi kushuhudia timu kibao zikichuana vikali, leo hii pia baadhi ya mataifa yatakuwa dimbani kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.
Lithuania atakipiga dhidi ya Finland ambao kwenye kundi lao yupo nafasi ya kwanza baada ya kushinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ametoka kupigika mechi yake iliyopita, hivyo ushindi wa leo hii ni muhimu sana kwake kwaajili ya kufuzu Kombe la Dunia. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.45 kwa 2.20. Suka jamvi hapa.
Nao Bosnia&Herzegovina wataumana vikalia dhidi ya Cyprus huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni mwaka 2017 ambapo mwenyeji alipasuka akiwa ugenini. Je leo hii anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Mechi hii pale kwa wakali wa ubashiri imepewa ODDS 1.45 kwa 9.20. Jisajili hapa.
Bashiri na Meridianbet mechi za mataifa za kufuzu Kombe la Dunia na ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Vilevile Poland atamkaribisha kwake Malta ambao walipoteza mechi yao iliyopita, huku wenyeji wao wakishinda mechi ya kwanza. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuchukua pointi 3?. Tengeneza jamvi hapa.
England baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Latvia. Vijana wa Thomas Tuchel wanahitaji kuendeleza ushindi katika dimba la Wembley huku nafasi ya ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.02 kwa 40. Pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri hapa.
Huku Albania wao watamenyana dhidi ya Andorra ambao hawapewi nafasi ya kushinda wakiwa na ODDS 16 huku wenyeji wao wakiwa 1.18. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Ingia na jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
NBC yashiriki uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars
Tamasha la Uchaguzi Mkuu kuzunguka mikoa 26
NBC kutumia mchezo wa Gofu kuchochea ushirikiano wa kibiashara