
Leo hii tena ni kimbunga ndani ya Meridianbet pesa kibao kumwagika leo kwani timu mbalimbali zinachuana vikali hapo baadae kwenye mechi za Mataifa. Nani kukupatia mkwanja leo?. Ingia Meridinabet na usuke jamvi hapa.
Mapema kabisa Hungary baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kulipa kisasi dhidi ya Turkey ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.80 kwa 2.40. Je beti yako unampa nani leo?. Bashiri hapa.
Pia mtanange mwingine ni huu wa Scotland vs Greece ambapo kwenye mechi ya mkondo wa kwanza mwenyeji aliondoka na ushindi. Hivyo mgeni leo hii anataka kulipa kisasi chake na yeye. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda yoyote yule kwani ODDS zao mpaka sasa ni 2.70 kwa 2.70. Jisajili hapa.
Slovenia atakipiga dhidi ya Slovakia ambapo mechi ya kwanza hakuna ambaye alikuwa mbabe yaani walitoka nunge. Kila timu leo hii inahitaji ushindi wa pointi 3. Je nani kuondoka kifua mbele katika dimba la Stoziche?. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 2.70 kwa 2.95.
Bashiri na Meridianbet mechi za mataifa mbalimbali na ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Wakati huo huo Serbia atamualika kwake Austria ambao kwenye mechi ya kwanza walitoka sare ya kufungana. Kila timu inahitaji ushindi leo hii iweze kusonga mbele kwenye hatua inayofuata. Je nani unamuamini leo akupe mshiko wa maana pale Meridianbet?. 2.95 kwa 2.60 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
France baada ya kupigika mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kulipa kisasi dhidi ya Croatia ya Modric. Vijana wa Deschampa wanahitaji pointi 3 na magoli ili kuweza kuendelea mbele kwenye michuano hii ya Mataifa. Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 1.45 kwa 6.80. Suka jamvi hapa.
Naye Denmark baada ya kumpiga Portugal bao moja, leo hii atakuwa ugenini kuonesha ubabe wake tena mbele ya vijana hao ambao wapo chini ya kocha mkuu Roberto Martinez ambao leo hii wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.60 kwa 5.40. Jisajili hapa.
Huku kwa upande wa Belgium baada ya kupoteza mechi yao ya kwanza watakuwa nyumbani kulipa kisasi dhidi ya Ukraine ambao walishinda mechi yao iliyopita. Je kina De Bruyne leo wapo nyumbani wanaweza kufurukuta?. ODDS za mechi hii ni 1.52 kwa 5.80. Tengeneza jamvi hapa.
Spain yeye atauama dhidi ya Netherlands ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana. Bingwa huyu mtetezi wa EURO 2024 anahitaji ushindi akiwa kwake kuwapa heshima mashabiki zake huku mgeni yeye akihitaji ushindi pia. Je nani unampa akupatie maokoto leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.70 kwa 4.80.
Germany vs Italy ni mechi kali sana ambayo unaweza kuiongezea kwenye jamvi lako na ikakupa mamilioni ya pesa. Mechi ya kwanza Italy amekufa pale nyumbani kwake hivyo leo hii yupo ugenini kusaka pointi 3 za ushindi na kulipa kisasi?. Je ataweza kushinda?. 1.86 kwa 4.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
NBC yashiriki uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars
Tamasha la Uchaguzi Mkuu kuzunguka mikoa 26
NBC kutumia mchezo wa Gofu kuchochea ushirikiano wa kibiashara