
Wikendi ndio hiyo imeanza leo na mabingwa wa odds kubwa Tanzania wanakwambia hivi nafasi ya wewe kuibuka na ushindi ikiwa kubwa pia. Tandika jamvi la ushindi hapa.
Ethiopia atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Egypt ambao kwenye kundi lao wapo nafasi ya 5 wakiwa hawajashinda mechi hata 1. Mgeni yeye ndio kinara wa kundi hilo akiwa na pointi 10, huku mechi ya mwisho kukutana mwenyeji akipoteza. Meridianbet wameipa mechi hii 15 kwa 1.20. Bashri hapa.
Pia mechi nyingine kali ni kati ya Botswana vs Algeria ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni wake nafasi ya 2. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipata fedheha vibaya mnoo baada ya kupokea kichapo kikubwa. Leo hii anahitaji kulipa kisasi akiwa nyumbani kwake. ODDS za mechi hii ni 5.60 kwa 1.60. Jisajili hapa.
Bashiri na Meridianbet mechi za kufuzu kombe la Dunia ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Nao Equatorial Guinea atamenyana dhidi ya Sao Tome and Principle katika kundi H ambapo mgeni kwenye mechi 4 alizocheza amepiga zote huku mwenyeji wake akiambulia pointi 3 baada ya kushinda mechi 1 kati ya nne ambazo kacheza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS hii 1.14 kwa 19. Tandika jamvi hapa.
Vilevile Burkina Faso atakiwasha dhidi ya Djibout mechi ya Kundi A ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 4. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ambapo ndani ya wakali wa ubashiri anayepewa nafasi ya kushinda ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.06 kwa 27. Pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Rwanda uso kwa uso dhidi ya Nigeria ambao wapo nafasi ya 5 huku mwenyeji wake yupo nafasi ya 2. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi kukutana, mwenyeji alishinda, hivyo leo hii mgeni anataka kulipa kisasi akiwa ugenini. Je beti yako unaiweka wapi hapa. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.70 kwa 1.94.
South Sudan watasafiri kupepetana dhidi ya DR Congo ambao mechi iliyopita walitoa sare huku mwageni wao walipoteza. Timu zote zinahitaji ushindi leo hii huku wakali wa ubahsiri Tanzania Meridianbet wakimpa nafasi ya kuondoka na pointi 3 mwenyeji kwa ODDS 1.13 kwa 20. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Mechi za Nations League kukutajirisha leo
Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ yazinduliwa rasmi
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa