March 16, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa

 

Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na Meridianbet kwani ODDS za maana zipo hapa. Timu kibao za ushindi zipo hapa leo.

Leo hii pale EPL kuna London Derby kati ya Arsenal vs Chelsea huku mara ya mwisho walipokutana walitoshana nguvu. Meridianbet wanampa The Gunners nafasi nzuri ya kushinda kwa ODDS 1.95 kwa 4.20. Kila timu inahitaji ushindi hii leo kujiweka sawa kwenye mbio za top 4?. Je nani kushinda leo pale Emirates?. Bashiri hapa.

Pia Fulham atamleta kwake Tottenham Spurs kuchuana vikali huku tofauti ya pointi kati yao ni 8 pekee. Vijana wa Ange wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita, huku wenyeji wao wametoka kupigika hivyo mchezo wa leo ni muhimu kwao. 2.10 kwa 3.45 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Na hapo baadae Manchester United watakuwa kibaruani kupepetana dhidi ya Leicester City ambao wapo kwenye hali mbaya, nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi wakishinda mechi zao 4 pekee. Mechi ya mkondo wa kwanza walipigika, hivyo leo hii wanataka kulipa kisasi. Je Mashetani Wekundu watakubali?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.10 kwa 1.92.

Bashiri na Meridianbet mechi zote za ligi mbalimbali leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

LALIGA pia itaendelea leo ambapo Sevilla atamleta kwake Athletic Bilbao ambao wanashika nafasi ya 4, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9. Mara ya mwisho kupepetana walitoshana nguvu. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. 3.10 kwa 2.55 ndio ODDS za hii. Tandika jamvi hapa.

Kwa upande wa CA Osasuna baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Getafe ambaye alipata ushindi mechi yake iliyopita. Timu zote zina pointi sawa kwenye msimamo wa ligi, hivyo ugumu unaanzia hapo. Suka jamvi lako la ushindi hapa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000.

Na mechi kali Hispania leo hii, ni hii ya Atletico Madrid vs Barcelona yaani ni mechi ambayo kila timu inawania mbio za ubingwa. Mechi ya mzunguko wa kwanza, Barca alipigika hivyo leo hii Hans Flick anahitaji pointi 3. Je Simeone atakubali kupoteza pale kwake?. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 3.10 kwa 2.30.

Vilevile ligi ya Italia SERIE A pia kuna mitanange mikali leo ambapo Bologna atamualika kwake Lazio Rome ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. Kila timu inahitaji pointi tatu za ushindi leo. Mwenyeji anahitaji kulipa kisasi baada ya kufungwa mchezo wa kwanza. 2.43 kwa 3.30 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

AFC Fiorentina atamenyana dhidi ya Juventus ambao walipoteza wakiwa nyumbani mechi yao iliyopita. Ni sare iliyopatikana walipokutana hivyo mchezo waleo kila timu inahitaji ushindi wa maana. 3.60 kwa 2.25 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Nao vinara wa ligi Inter Milan watakuwa ugenini dhidi ya Atalanta ambao walitoa dozi nzito mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni pointi 2 pekee huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa yoyote kwani ODDS zao ni 2.75 kwa 2.75. Je wewe pesa yako unaiweka wapi hapa?.

LIGUE 1 kule Ufaransa pia itaendelea Lyon atamleta kwake Le Havre ambao wapo nafasi ya 16. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.39 kwa 7.80. Tandika jamvi hapa.

Nao Stade Brest 29 ataumana dhidi ya Stade Reims majira ya 1:15 jioni huku takwimu zikionesha kuwa mwenyeji ndiye mshindi wa mechi yao ya kwanza wlaipokutana, hivyo ni jukumu la mgeni kulipa kisasi leo. Je nani kuondoka na alama 3 za ushindi leo?. 1.74 kwa 5.00 ndio ODDS za hapa. Tengeneza jamvi hapa.

Vinara wa ligi hiyo PSG watakuwa kibaruani pale kwako kusaka pointi 3 dhidi ya Marseille ambao wapo nafasi ya 2 huku tofauti ya pointi kati yao ni 16. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi Paris kwa ODDS 1.47 kwa 6.20. Beti hapa.

About The Author

error: Content is protected !!