March 2, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Maokoto ya maana yapo Meridianbet leo

 

Hatimaye wikendi ndio hiyo imefika leo hii ambapo nafasi ya kuondoka na mamilioni ipo mikononi mwako. Meridianbet inakupa zaidi ya machaguo 1000 hivyo ingia na ubashiri hapa.

Tukianza na LALIGA leo kuna mechi kali za kupiga mkwanja Girona atakipiga dhidi ya Celta Vigo ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee huku mara ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi ya kuhsinda kwa ODDS 2.30 kwa 3.20. Jisajili hapa.

Mechi nyingine kali ni hii ya Real Betis vs Real Madrid ambao wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 7. Vijana wa Ancelotti wako kwenye mbio za ubingwa huku ushindi wao wa leo utawapeleka kileleni. Mechi hii imepewa ODDS 3.70 kwa 1.95. J beti yako unaiweka wapi?. Bashiri hapa.

Katika dimba la Civitas Metropolitano, Atletico Madrid ataumana dhidi ya Athletic Bilbao ambao wametoka kutoa dozi nzito kwenye mechi yao iliyopita. Vijana wa Simeone nao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.10 kwa 3.75. Suka jamvi hapa.

Jumamosi ya leo piga pesa na wakali wa ubashiri  Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Ujerumani BUNDESLIGA nayo itaendelea leo RB Leipzig atakiwasha dhidi ya  Mainz  05 ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 5 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 6. Mara ya mwisho kukutana, RB aliibuka na ushindi. Nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.90 kwa 4.10. Bashiri hapa.

Naye Borussia Dortmund atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya ST. Pauli ambao wapo nafasi ya 15 huku Dortmund yeye akiwa nafasi ya 10. Takwimu zinaonesha kuwa mgeni ndiye alishinda mechi yao ya mwisho kukutana. Hivyo leo hii nafasi ya kushinda amepewa mgeni kwa ODDS 1.88 kwa 4.20. Suka jamvi hapa.

Eintracht Frankfurt baada ya kupigika mechi iliyopita, leo hii watakuwa wenyeji wa Bayer Leverkusen ambaye ndio bingwa mtetezi. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni wake ya 2. Hivyo ni mechi kali yenye ushindani hasa. Beti yako unaiweka wapi hapa leo?. 4.20 kwa 1.85 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

SERIE A kule Italia nayo inatarajia kuendelea leo hii ambapo Atalanta atamleta kwake Venezia ambao ni wa 2 kutoka mwisho. Vijana wa Gasperin wanahitaji ushindi wapande hadi nafasi ya 2. Je wageni watawazuia?. Mechi hii ina ODDS 1.22 kwa 13. Bashiri hapa.

Vilevile mtanange mwingine ni huu wa Napoli vs Inter Milan yaani ni nani kushinda kukaa kileleni. Vijana wa Conte wanahitaji ushindi kusalia kileleni huku vijana wa Inzaghi wanahitaji ushindi kupanda kileleni. Nani unampa pesa yako leo?. 3.05 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Nao Udinese Calcio wataumana vikali dhidi ya Parma Calcio ambapo mtanange wa mwisho kukutana, Udinese aliondoka na ushindi. Mwenyeji anapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.85 kwa 4.40. Bashiri hapa.

Ufaransa pia LIGUE 1 kuna mechi za pesa zitakazoendelea AS Saint-Etienne atamenyana dhidi ya OGC Nice ambao wpao nafasi ya 3 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.63 kwa 5.20. Suka jamvi hapa.

Nao RC Lens watakipiga dhidi ya Le Havre ambao wanashika nafasi ya 17 kwenye ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 8 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 16. Je mwenyeji anaweza kushinda akiwa nyumbani?. 1.42 kwa 7.60. Ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Mechi kali Ufaransa leo hii ni hii ya PSG vs Lille huku mechi ya mwisho kukutana Paris waliondoka na ushindi. Je leo hii wataendelea ubabe wao wakiwa katika dimba lao la Parc des Princes?. 1.40 kwa 7.40. Tandika jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!