
Jumanne ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imefika ambapo nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja wa uhakika ikiwa imefika. AC Milan, Benfica, Bayern wapo tayari kukupatia ushindi. Ingia na ubashiri sasa.
AC Milan baada ya kuchapika mechi yake iliyopita akiwa ugenini leo hii atakuwa pale San Siro kusaka ushindi wa kumvusha kwenda 16 bora dhidi ya Feyenoord ya kule Uholanzi ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 7.60 kwa 1.40. Je Milan wanaweza kupindua meza leo hii kwani mlima hata sio mrefu. Bashiri hapa.
Wakati kule Italia katika dimba la Gewiss Atalanta nao baada ya kupoteza ugenini leo hii watawaleta nyumbani kwao Club Brugge ya kule Ubelgiji. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye ligi huku mgeni wake akiwa 2. Vijana wa Gasperin ndio wanaopendelewa kushinda na Meridianbet kwa ODDS 1.53 kwa 6.00. Je wewe unamuamini nani akupe pesa leo?. Jisajili hapa.
UEFA imekuja na mpunga mrefu leo. Suka jamvi lako na Meridianbet leo, lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
SL Benfica atakuwa uso kwa uso dhidi ya AS Monaco ambapo mechi ya mwisho waliyokutana, Mreno aliondoka na faida ya bao 1 ugenini. Hivyo leo hii mgeni anataka kupindua meza ugenini. Je atauweza moto wa mwenyeji wake?. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.90 kwa 3.75. Beti hapa.
Nao vijana wa Vicent Kompany FC Bayern Munich watamenyana dhidi ya Celtic ambao wanahitaji kupindua meza kwa mabao zaidi ya mawili. Mwenyeji alishinda ugenini hivyo leo anahitaji kuongeza zaidi mabao au kulinda haya ambayo anayo. 1.20 kwa 13 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
ZINAZOFANANA
Jumapili ya kitajiri na Meridianbet hii hapa
Tandika jamvi mechi za Ijumaa leo
NBC yashiriki uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars