February 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Piga mpunga Ijumaa ya leo na Meridianbet

 

Wikendi ndio hiyo imefika ya wewe kuondoka na maokoto kibao ndani ya Meridianbet ambapo mechi nyingi zinaenda kupigwa hapo baadae. Ingia kwenye akaunti yako na ujipigie mkwanja leo.

Ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii kuna mechi kali kabisa ambapo Brighton atakuwa mwenyeji wa Chelsea ambao mechi ya mwisho wamepigika. The Blues chini ya kocha mkuu Enzo Maresca wanahitaji ushindi ili wajiweke kwenye nafasi ya kuwania nafasi 4 za juu. Je wenyeji watafanya nini leo nyumbani?. Meridianbet wanampa mgeni nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 2.35 kwa 2.95. Jisajili hapa.

Ligi mbalimbali kukupatia mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Huku kule Italia pia mechi ya kubashiri ipo ambapo Bologna baada ya kutoa suluhu atakipiga dhidi ya Torino ambao wao walitoa sare. Tofauti ya pointi kati yao ni 10 huku mtanange wa mwisho kuonana mwenyeji akishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. 1.83 kwa 5.00 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Vilvile Ujerumani kule BUNDESLIGA kuna kivumbi leo, Augsburg atamenyana dhidi ya RB Leipzig ambao wapo nafasi ya 4 na mwenyeji wake akiwa nafasi ya 12 hadi sasa. Mwenyeji anahitaji ushindi leo hii baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. Je pesa yako unampa nani leo hii?. 3.00 kwa 2.44 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Lakini pia kule Hispania LALIGA kuna mechi ya moto kabisa Girona atakuwa uso kwa uso dhidi ya Getafe huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.05 kwa 4.30. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Je beti yako unampa nani leo?. Bashiri hapa.

LIGUE 1 kule Ufaransa pia kitaumana vilivyo Brest 29 atamkaribisha kwake AJ Auxerre huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 8 baada ya kushinda mechi zake 10, sare 1 na kupoteza mara 10, huku mgeni wake yeye akiwa nafasi ya 11 akishinda mechi 6 sare 6 na kupoteza mara 9. Nani kuondoka na pointi 3 leo?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 2.25 kwa 3.45.

About The Author

error: Content is protected !!