February 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Shida kitita na Meridianbet kupitia Ligi ya Mabingwa Ulaya leo

 

Ligi ya mabingwa barani ulaya itaendelea usiku wa leo ambapo itakupa fursa wewe unaebashiri na mabingwa wa kubashiri Meridianbet kupiga mkwanja wa maana kupitia michezo inayopigwa leo.

Michezo ambayo itapigwa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya itakua imepewa Odds bomba sana pale Meridianbet, Hivo kwa wale wote wanaobashiri wanapaswa kuweka mkeka wao mapema ili waweze kushinda kitita kupitia michezo hii kabambe kabisa.

Klabu ya Bayern Munich leo watakua ugenini nchini Scotland kumenyana na klabu ya Celtic wakitafuta nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, Mchezo huu umepewa Odds nono pale Meridianbet.

Klabu ya Ac Milan nao leo watakua na kibarua cha kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya 16 ambapo watakua ugenini kumenyana na klabu ya Feyernoord kutoka nchini Uholanzi, Feyernoord wakipewa 3.30 huku Ac Milan mabingwa mara saba wa michuano hiyo wakipewa 2.20.

As Monaco leo watajitupa uwanjani kumenyana na klabu ya Benfica ya nchini Ureno kwenye mchezo wa mtoano wa ligi ya mabingwa ulaya, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa kwani hata pale Meridianbet wameweka Odds nzuri sana kupitia mchezo huu.

Atalanta watakwenda kuitafuta nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa ulaya leo ambapo watakua ugenini nchini Ubelgiji wakikipiga na klabu ya Club Brugge, Atalanta wamepewa 1.84 huku Club Brugge wamepewa 3.10 weka mkeka sasa upige mkwanja.

Michezo mingine ambayo itapigwa leo na imepewa Odds bomba kabisa ni mchezo kati ya Everton Vs Liverpool kwenye ligi kuu ya Uingereza, Pyramids watakipiga dhidi ya Harass El Hodood katika ligi kuu nchini Misri, Kunako Championship pale Uingereza itapigwa michezo kadhaa pia ambapo Burnley itakipiga dhidi ya Hull City, pia West Bromwich Albion Vs Blackburn Rovers.

Kupitia michezo ambayo itakwenda kupigwa leo usisahau chaguo jipya ndani ya Meridianbet la Early payout, Ambapo watu wengi wamekua wakiendelea kupiga mkwanja kupitia chaguo hili jipya la kibabe.

About The Author

error: Content is protected !!