February 11, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Jumanne ya kupiga pesa na UEFA hii hapa

Ligi ya mabingwa barani Ulaya, UEFA leo hii kupigwa mechi za Play-off ambapo wewe sasa nafasi ya kupiga mkwanja wa maana upo. Weka timu zako za ushindi na uondoke bingwa leo.

Mechi ya mapema kabisa ni hii ya PSG vs Stade Brest huku timu zote zinakipiga kule Ufaransa LIGUE 1. Nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet wamepewa vijana wa Luis Enrique kwa ODDS 1.35 kwa 8.80. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, Paris aliondoka na ushindi mechi zote. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi nyumbani?. Bashiri hapa.

Mechi kali sana ligi ya mabingwa ni hii inayowakutanisha kati ya Manchester City vs Real Madrid mabingwa mara 15 wa kombe hili. City yeye wamechukua kombe hili mara moja pekee. Hii ni mechi inayosubiriwa na watu wengi Duniani leo. Mechi za mwisho kukutana walitoshana nguvu na Real alishinda kwa mikwaju ya penalti. Je leo hii pale Etihad nani kuondoka pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.00 kwa 3.65. Jisajili hapa.

UEFA imerejea kwa kishindo leo, suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Unaweza ukabashiri mechi pia ya Sporting Lisbon ya Ureno dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani. Mwenyeji kwenye ligi yao anashika nafasi ya 1 akiwa na pointi zao 51, huku kwa upande wa Borussia wao wapo nafasi ya 11 akiwa na pointi zake 29 pekee, huku ,mechi iliyopita akipigika nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 3.05. Suka jamvi hapa.

Vilevile nyasi za Allianz zitawaka leo ambapo Juventus atamkaribisha kwake PSV kutoka Uholanzi ambapo mechi ya mwisho waliyokutana, vijana wa Thiago Motta waliondoka na ushindi. Wakali wa ubashiri wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Wewe unamdhamini nani akupe pesa leo?. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!