February 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Jumapili ya leo ina pesa kibao

Je unajua kuwa Jumapili ya leo unaweza ukaondoka na neema ndani ya Meridianbet ambapo utasuka jamvi lako la ushindi kwa kuchagua timu zako za maana?. Ingia sasa kwenye akaunti yako na ubashiri.

Meridianbet imeanza kuangazia ligi kuu ya Hispania leo LALIGA ambapo leo kuna mechi za kibabe, Deportivo Alaves atakuwa mwenyeji wa Getafe ambao wapo nafasi ya 14 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 18. Mechi ya mwisho kukutana, mgeni alishinda. Je leo hii Alaves kulipa kisasi nyumbani?. ODDS za mechi hii ni 2.30 kwa 3.85. Bashiri hapa.

Pia Valencia ambaye yupo nafasi ya 19 leo hii atakuwa na kazi ya kukipiga dhidi ya CD Leganes ambao wanashika nafasi ya 16, yaani tofauti kati yao ni pointi 4 pekee. Kila timu inahitaji pointi 3 kujitoa kwenye nafasi iliyopo. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.77 kwa 5.20. Tandika jamvi hapa.

Usiku wa saa 5:00 FC Barcelona atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Sevilla huku ushindi wa Hans Flick leo hii utamfanya awe pointi 2 nyuma ya kinara wa ligi. Je mwenyeji wake atamzuia Barca kuchukua ushindi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 6.20 kwa 1.49.

Jumapili ya leo ni ya kitajiri na Meridianbet ambapo nafasi ya kupiga pesa ni kubwa sana leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wakati ligi kuu ya Italia SERIE A nayo itashika hatamu leo Lazio atamenyana vikali na AC Monza ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa wakiwa wameshinda mechi 2 pekee kati ya 23 ambazo wamecheza hadi sasa. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi ya ushindi kwa ODDS 1.33 kwa 10. Jisajili hapa.

Lecce atakuwa uso kwa uso dhidi ya Bologna huku mara ya mwisho walipokutana, mgeni alishinda. Mwenyeji anahitaji ushindi kwa hali na mali leo kwani yupo nyumbani na anataka kuwafurahisha mashabiki wake. 5.20 kwa 1.77 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.

Kinara wa ligi SSC Napoli atakuwa mwenyeji wa Udinese Calcio ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita huku kwa upande wa mwenyeji yeye akitoa sare, hivyo pointi 3 za leo ni muhimu sana kwake. Je Conte na vijana wake wataambulia nini pale nyumbani kwao?. 1.45 kwa 8.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Vilevile ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 leo patawaka sana, Lyon atamkaribisha kwake Stade Reims ambao mechi iliyopita walipigika halikadhalika kwa mwenyeji naye. Yaani zinakutana timu mbili ambazo hazitaki kupoteza mechi ya leo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Naye AJ Auxerre ataumana vikali dhidi ya Toulouse ambao wana pointi 26 huku wenyeji wao wana pointi 23 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji anahitaji kulipa kisasi leo hii baada ya mechi ya mwisho kufungwa walipokutana. Je beti yako unampa nani leo?. 3.00 kwa 2.46. Tengeneza mkeka hapa.

Nao Angers watamleta kwao Marseille ambao wanashika nafasi ya pili huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wanampendelea mgeni kuondoka na ushindi leo akipewa ODDS 1.62 kwa 5.40. Wewe unamdhamini nani akupatia maokoto Jumapili ya leo?. Bashiri hapa.

About The Author

error: Content is protected !!