![](https://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2025/02/PR-Design-07FEB-1200X1200-1024x1024.png)
Ijumaa ndiyo hii ya kufurahia kwa shangwe kubwa kabisa ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya kutusua na Meridianbet ni kubwa kabisa ukisuka jamvi lako la ushindi hapa.
Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo hii kuna mechi kali sana ya wewe kuondoka na mpunga ambapo vinara wa ligi Bayern Munich watakuwa mwenyeji wa Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 8 huku wakiachwa pointi 21 na mechi ya mwisho wakipigika vibaya mno. Je leo hii wataondokaje pale Allianz Arena?. Mechi hii ina ODDS 1.10 kwa 22. Bashiri hapa.
Lakini pia kule Hispania, LALIGA kuna mechi itapigwa majira ya saa 5:00 usiku kati ya Rayo Vallecano vs Real Valladolid ambapo mwenyeji yeye yupo nafasi ya 6, huku kwa upande wa mgeni yeye ndio kibonde kwenye msimamo wa ligi. Mitanange mitatu ya mwisho kukutana, Valladolid anakuwa ni mteja kwani zote amepigika. Je leo hii ataweza kulipa kisasi. Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 1.51 kwa 6.80. Tandika jamvi hapa.
Ijumaa ya kuondoka tajiri na Meridianbet imefika ambapo nafasi ya kupiga pesa ni kubwa sana leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kule italia SERIE A pia kitawaka haswa ambapo Juventus ya Thiago Motta watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Como 1907. Bibi Kizee wa Turin baada ya kushinda mechi yake iliyopita anataka kuendeleza ushindi dhidi ya mwenyeji wake ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Juve akishinda atapanda hadi nafasi ya 4 kutoka ya 6 na mwenyeji wake atapanda hadi nafasi ya 13 kutoka ya 15. Je nani kuondoka na pointi 3 leo?. ODDS za mechi hii ni 3.80 kwa 2.07. Jisajili hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi za kukata na shoka ambapo mechi ya mapema ni hii inayowakutanisha kati ya Nantes vs Brest huku tofauti yao ikiwa ni pointi 7 pekee, mwenyeji anashikilia nafasi ya 14 na mgeni wake yupo nafasi ya 8 hivyo vita hii ya leo ni kali sana. Wababe wa ubashiri Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.45 kwa 3.10. Suka jamvi hapa.
Wakati bingwa mtetezi PSG baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa AS Monaco ambao nao walishinda mechi yao iliyopita. Monaco wanataka kulipa kisasi hii leo baada ya kupoteza mechi yao iliyopita walipokutana. 1.40 kwa 6.80 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Kule Uingereza leo hii kuna mchezo mmoja wa FA CUP raundi ya 4 kati ya Manchester United dhidi ya Leicester City ambao wapo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Amorim nao hawapo kwenye nafasi nzuri huku mechi ya mwisho walipokutana, Leicester walipokea kichapo cha maana. Leo hii watafanya nini pale Old Trafford?. Mechi hii ina ODDS 1.35 kwa 7.40. Jisajili hapa.
Ureno leo hii PRIMEIRA LIGA itaendelea kwa mechi kali kabisa kati ya FC Porto vs Sporting CP, yaani ni wa kwanza na wa tatu wanakutana kutunishana mbavu zao. Tofauti ya pointi kati yao ni 8 huku anayepewa nafasi ya kushinda leo hii akiwa ni Sporting kwa ODDS 2.55 kwa 2.80. Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kukutana kwenye ligi, Porto alipoteza. Beti yako unampa nani?. Bashiri hapa.
Ligi kuu ya SAUDIA nayo kama kawaida mitanange ya maana ipo ambapo Al Nassr ya kina Ronaldo ambao wapo nafasi ya 4 watakuwa wenyeji wa Al Feiha ambao wapo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho walipokutana, Al Nassr walishinda. Je wataendeleza moto wao?. 1.25 kwa 10 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Al Ahli wao watapepetana dhidi ya kibonde wa ligi Al Fateh ambao mpaka sasa wana pointi 10 kwenye michezo 18 ambayo wamecheza hadi sasa. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Ahli kwa ODDS 1.20 kwa 12. Beti hapa.
ZINAZOFANANA
Ndoa ya Ramovic na Yanga yavunjika baada ya siku 80
Suka jamvi lako la ushindi hapa
Maliza wikendi kishujaa na Meridianbet leo