January 16, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

EPL na COPA DE LE REY kukupa maokoto leo

Ligi kuu ya Uingereza pamoja na kombe la Copa de le rey kule nchini Hispania itaendelea na itapigwa michezo kadhaa ambayo itahakikisha wewe mtaalamu wa kubashiri unaweza kuondoka na mkwanja mzuri tu kupitia Meridianbet.

Michezo hii kama ilivyo kawaida imepewa Odds bomba pale Meridianbet jambo ambalo linakufanya wewe unaeweka majamvi yako kila siku kuweza kushinda maokoto ya kutosha kupitia michezo hii kabambe ambayo inapigwa usiku wa leo.

Manchester United baada ya kupoteza michezo minne mfululizo ya ligi kuu ya Uingereza lakini katika hali ya kushangaza walifanikiwa kwenda Anfield na kuwalazimisha vinara Liverpool sare katika dimba lao la nyumbani, Leo watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Southampton kuhakikisha wanapata alama tatu baada ya kukosa alama tatu kwenye michezo mitano iliyopita ya ligi kuu ya Uingereza.

Manchester United leo watakua wanahitaji alama tatu muhimu kwelikweli kwani hawakua kwenye wakati mzuri kwenye michezo sita ya mwisho kunako ligi kuu ya Uingereza, Lakini inaonekana kama wamepata ari na leo wanaweza kupata matokeo mazuri kwani wiki jana wamefanikiwa kuitupa nje Arsenal kwenye michuano ya kombe la Fa na kupata sare kwenye mchezo dhidi ya Liverpool.

Mchezo mwingine wa ligi kuu ya Uingereza ambao utapigwa leo ni kati ya klabu ya Ipswich Town ambao wataikaribisha klabu ya Brighton Hove&Albion, Huku kila timu ikitaka alama tatu kwenye mchezo huu ili kujisogeza kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza.

Kule nchini Hispania klabu ya Real Madrid baada ya kucharazwa vibaya sana kwenye fainali ya Spanish super cup mbele ya Barcelona leo watakua nyumbani kwenye michuano ya kombe la Copa de le rey wakikipiga dhidi ya klabu ya Celta Vigo.

Real Madrid watahitaji kushinda mchezo wa leo kwa kiwango kikubwa ili kuweza kurudisha ari na hali ya kujiamini kwneye kikosi hicho, Kwani kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya Barcelona kwa mabao matano ni wazi itakua imevuruga hali ya kikosi hicho hivo kushinda mchezo wa leo dhidi ya Celta Vigo itakua dalili nzuri.

Michezo yote ambayo itachezwa leo imewekwa kwenye tovuti ya Meridianbet ambapo imepewa Odds bomba ambapo unaweza kujishindia maokoto ya kutosha kama utaweka mkeka wako leo bashiri sasa kupitia https://meridianbet.co.tz/sw/nyumbani ujinyakulie kititaaa.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author

error: Content is protected !!