December 18, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Ijumaa ya ushindi imewadia

Ni Ijumaa nyingine ya kutusua na mabingwa wa ubashiri Tanzania ambapo mechi nyingi za ligi zinarejea siku ya leo. Nafasi ya kuibuka na kitita cha pesa unayo leo. Suka jamvi lako na utusue sasa.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo hii kutakuwa na mtanange wa maana ambapo SC Freiburg baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa na kibatua dhidi ya Wolfsburg ambao walishinda mechi yao iliyopita. Timu zote zina pointi sawa ila kinachowatofautisha ni magoli pekee. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.20 kwa 3.40. Bashiri hapa.

Wakati kule Italia pia SERIE A nayo kitawaka vilivyo ambapo Empoli atamkaribisha kwake Torino ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye Coppa Italia na mwenyeji aliibuka kidedea. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. ODDS za mechi hii ni 2.65 kwa 3.20. Jisajili hapa.

Leo hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile LALIGA nayo kuna mechi ya kukupatia pesa Real Valladolid ataumana dhidi ya Valencia CF ambaye mechi yake iliyopita, alipoteza halikadhalika kwa mwenyeji anaye alipasuka. Yaani hapa ni mechi ya vibonde mmoja yupo nafasi ya 19 na mwingine 20. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Tandika jamvi lako mechi hii yenye ODDS 3.20 kwa 2.45.

Pia ligi kuu ya Tanzania NBC baada ya kupigwa jana, leo hii inaendelea pia ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Fountain Gate dhidi ya Coastal Union. Mwenyeji ametoka kupoteza mechi yake iliyopita huku Wanamngushi woa wakishinda. Ni pointi 1 pekee ambayo inawatenganisha huku Meridianbet wakimpa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.94 kwa 3.55. Jisajili hapa.

Nao matajiri wa Chamazi Azam FC wakiwa wana mwenendo mzuri kabisa kwa kushinda mechi 7 mfululizo, leo hii watakuwa ugenini kusaka pointi 3 zingine dhidi ya Tabora United ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana walitoka suluhu. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. 2.95 kwa 1.87 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Ufaransa leo hii LIGUE 1 nayo kuna mtanange mmoja wa Toulouse FC dhidi ya Saint- Etienne ambao wapo nafasi ya 16 ambayo ni ya 3 kutoka mwisho. Wakati kwa upande wa mwenyeji 10 wakiwazidi pointi 5. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.45 kwa 7.40. Bashiri hapa.

About The Author

error: Content is protected !!