KAMA kawaida Jumamosi ya leo ni siku ya kuchukua maokoto yako mapema na kwenda kujidai kwani mechi kibao za Kimataifa kuanzia hapa Afrika mpaka kule Ulaya zinaendelea. Suka jamvi lako na Meridianbet leo.
Tukianza na Afrika leo hii kuna michezo miwili kutoka Kundi H ambapo mechi ya mapema ni hii ya Ethiopia VS Tanzania majira ya saa moja usiku. Ikumbukwe kuwa Stars leo hii inahitaji ushindi wa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi ya kufuzu. Mwenyeji yeye pia anahitaji ushindi. Meridianbet wameipa Tanzania nafasi ya kushinda kwa ODDS 3.70 kwa 2.15. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Guinea dhidi ya DR Congo ambao ndio vinara wa kundi hili wakiwa wameshinda mechi zao zote mpaka sasa. Mwenyeji anahitaji ushindi zaidi kwenye mechi hii ya leo azidi kukaa nafasi ya pili. Je Congo atakubali kichapo cha kwanza ugenini?. Mechi hii imepewa ODDS 2.39 kwa 3.05. Bashiri hapa.
Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kule Ulaya sasa ndipo kwenye pesa kwani leo hii Turkey atamualika kwake Wales ambao wapo nafasi ya pili kwenye kundi lao. Wote walishinda mechi zao zilizopita huku mara ya mwisho kukutana walitoa suluhu. Meridianbet wamempa mwenyeji kwa ODDS 1.80 kwa 4.20. Beti hapa.
Pia Georgia takiwasha dhidi ya Ukrain ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wakiwa na pointi 4 pekee. Mwenyeji ametoka kupoteza mechi yake iliyopita, hivyo pointi 3 za leo ni muhimu sana. Je nani kuondka na ushindi leo hii pale Meridianbet?. 2.60 kwa 2.75 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Wakati saa 4 usiku Germany yeye atapepetana dhidi ya Bosnia&Herzegovina ambao wana pointi moja pekee kwenye mechi 4 ambazo wamecheza. Ujerumani wapo nafasi ya kwanza baada ya kukusanya pointi 10. Je leo hii watafikisha alama 13?, Beti mechi hii yenye ODDS 1.09 kwa 25.
Czech Republic watakuwa ugenini kuchuana vikali dhidi ya Albania ambapo mechi ya mwisho kukutana, mgeni alishinda na ikumbukwe kuwa timu hizi zimetofautiana pointi moja pekee. Nani kuondoka kifua mbele siku ya leo? 3.15 kwa 2.30 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Naye Sweeden atakuwa uso kwa dhidi ya Slovakia ambapo hawa wote wana pointi sawa kwenye msimamo wa kundi lao huku mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Mwenyeji anahitaji ushindi nyumbani leo na mgeni pia anataka kupata ushindi ugenini. Hii ni vita ya pointi 3. 1.70 kwa 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Netherlands ataumana dhidi ya Hungary ambapo wote wana pointi 5 kwenye msimamo wa kundi A huku mwenyeji leo hii akitarajia ushindi akiwa nyumbani kwake. 1.38 kwa 7.20 ndio odds za mechi hii. Beti hapa.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet