Baada ya jana kushuhudia mechi za UEFA kuendelea, leo hii pia kuna mechi za pesa kibao zinazoenda kupigwa huku wewe ukiwa na nafasi ya kuibuka bingwa. Suka jamvi lako na Meridianbet sasa.
Mapema kabisa vijana wa Unai Emery Aston Villa baada ya kupokea kichapo cha maana kwenye ligi, leo hii watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Club Brugge ambao wameshinda mechi moja pekee. Villa ameshinda mechi zote 3 na Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda mgeni akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.25. Jisajili hapa.
Wakati huo huo katika dimba la VELTINS-arena kule Ukrain Shakhtar Donetsk atakuwa mwenyeji wa Young Boys Bern ya kule Uswizi huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee ambapo mgeni kwenye mechi 3 alizocheza kapoteza zote. 2.01 kwa 3.75 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Leo mechi za UEFA zinakupatia ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile mechi nyingine kali kabisa siku ya leo ni hii ya Inter Milan vs Arsenal katika dimba la Giuseppe Meazza ambapo timu zote zina pointi 7 kwenye msimamo wa ligi huku anayependelewa kuondoka na ushindi leo hii ni Inzaghi na vijana wake kwa ODDS 2.70 kwa 2.80. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Nao PSG watawaalika Atletico Madrid ambao wameshinda mechi moja pekee, wakati Paris wao wameshinda mechi moja na sare moja. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa mechi ya kirafiki 2009 na walitoa sare. Je nani leo ataondoka na pointi 3?. Bashiri hapa mechi hii yenye ODDS 1.60 kwa 5.80.
Vicent Kompany na Bayern Munich yake watakuwa Allianz Arena kumenyana dhidi ya Benfica ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Ikumbukwe kuwa Munich naye alipoteza pia, hivyo pointi 3 za leo zinatolewa na kila mtu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.28 kwa 10. Suka jamvi hapa.
FK Zvezda Belgrade atamkaribisha FC Barcelona ya Hans Flick ambao leo hii wanahitaji ushindi kwa hali na mali ili wapande hadi nafasi ya 4 kutoka ya 15, wakati ushindi wa mwenyeji ndio utakuwa wa kwanza. Je Barca anaweza kudondosha pointi ugenini leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Beti sasa.
VFB Stuttgart baada ya kupata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Atalanta ambaye alitoa sare. Timu hizi zinatofautiana pointi 1 pekee. Je pointi zinaenda Italia au zinabaki Ujerumani?. 2.40 kwa 2.80. Tengeneza jamvi hapa.
Halikadhalika Feyenoord atapepetana dhidi ya FC Salzburg ambaye hata hata pointi moja kwenye mechi zake 3 alizocheza, wakati kwa upande wa mwenyeji yeye akishinda mechi mbili na kupoteza moja. Nafasi ya kuondoka kidedea amepewa 1.56 kwa 5.60. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet