December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Chukua chako mapema na EUFA leo

Jumanne ya leo Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea mabpo timu kali leo zipo uwanjani kusaka pointi 3 muhimu. Na wewe ingai Meridianbet utafute ushindi.

Mechi za mapema zipo mbili ambazo zinachezwa saa 2:45 usiku PSV baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakipiga dhidi ya Girona aliyeshinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kutoka Uholanzi akiwa na ODDS 1.75 kwa 4.40. Jisajili hapa.

Muda huo huo Dinamo Zagreb atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Slovan Bratslava ambaye kwenye mechi 3 zote alizocheza amepoteza leo. Je leo hii mwenyeji huyo anaweza kufufukia kwa vijana kutoka Croatia.?. Mechi hii imepewa ODDS 3.85 kwa 1.95. Bashiri hapa.

Nao Real Madrid mabingwa watetezi watakiwasha dhidi ya AC Milan ya Fonseca mechi kali kabisa ya kutazama majira ya saa 5:00 usiku. Real ameshinda mechi zake 2 na Milan kashinda moja pekee. Mara ya mwisho kukutana, ilikuwa Agosti mechi ya kirafiki na Carlo alipoteza. Beti yako unampa nani leo?. 1.45 kwa 6.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

UEFA ya leo imekuja kivingine. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Baada ya kupasuka mechi yake iliyopita akiwa nyumbani safari hii Juventus atasafiri hadi Ufaransa kusaka pointi 3 dhidi ya Lille ambao nao pia walipoteza lakini wakiwa nyumbani. Nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo?. Mechi hii ina ODDS 3.00 kwa 2.55. Jisajili hapa.

Kule Ureno sasa Sporting Lisbon atamualika bingwa mara moja wa UEFA Manchester City ambao wapo vibaya hivi karibuni. Timu zote zina pointi 7 hadi sasa hivyo leo kila mmoja anafukuzia ushindi kufikisha pointi 10. Vijana wa Pep Guardiola kushinda leo wana ODDS 1.95 kwa 3.90. Beti hapa.

Liverpool ya Arne Slot watakuwa wenyeji wa Bayer Leverkusen ya Alonso huku Jogoo akiwa kashinda mechi zake zote 3 na mgeni wake akishinda mbili na sare moja. Mara ya mwisho kukutana ni 2012 kwenye mechi ya kirafiki na Liver alishinda. Je leo hii Leverkusen ataweza kufurukuta ugenini? Suka jamvi lako mechi hii na ODDS zake ni 1.80 kwa 4.10.

Mechi nyingine ya pesa ni hii ya Celtic vs RB Leipzig ambaye mpaka sasa anapumulia mashine mechi zote 3 amepigika wakati mwenyeji kutoka kule Scotland yeye akiambulia pointi 4 kwenye mechi 3. RB anahitaji kupata ushindi wa kwanza leo. 2.75 kwa 2.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Nao Bologna ambao wana pointi 1 watauamana dhidi ya AS Monaco ambao wao wana pointi 7 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda leo Mfaransa kwa ODDS 2.65 kwa 2.80. Bashiri sasa.

About The Author

error: Content is protected !!