Baada ya kushuhudia mechi kibao za ligi zikipigwa wikendi hii, sasa ni zamu ya mechi za Ligi ya mabingwa ambazo zimekuja na maokoto ya kutosha. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Mechi za mapema kabisa ni mbili leo mojawapo ni hii ya AC Milan vs Club Brugge mechi ambayo itapigwa San Siro. Ikumbukwe Milan mpaka sasa kwenye mechi mbili alizocheza kapoteza zote hivyo mchezo wa leo ni muhimu sana kwake. Meridianbet wamempa Inzaghi na vijana wake nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.37 kwa 8.03. Jisajili hapa.
Muda huo huo AS Monaco ya Ufaransa watakipiga dhidi ya FK Crvena Zvezda Belgrade ya ya kule Serbia. Mwenyeji ana pointi kwenye mechi mbili alizocheza huku mgeni yeye akiwa hana pointi baada ya kupigika mechi zote mbili. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.34 kwa 8.82.
Chukua pesa yako na mechi za UEFA leo ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kimbembe kitakuwa hapa kati ya Aston Villa VS Bologna katika dimba la Dimba la Villa Park kwani mgeni anahitaji ushindi kwa hali na mali baada ya kukosa pointi 3 mechi mbili alizocheza. Wakati vijana wa Unai wao wanataka ushindi wazidi kujiimarisha kwenye nafasi nzuri. 1.65 kwa 5.09 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Baada ya kupigika kwenye ligi sasa Arsenal leo atakuwa Emirates kumenyana dhidi ya Shakhtar Donetsk ya kule Ukrain. Tofauti ya pointi kati yao 3 tuu ambapo The Gunners wameshinda mechi moja na kutoa sare moja huku mgeni wake akitoa sare moja na kupoteza mechi moja. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.
Mechi kali leo ni hii ya Wanafainali wa UEFA yaani Real Madrid vs Borussia Dortmund huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda Ancelotti na vijana wake kwa ODDS 1.51 kwa 5.29. Je Borussia atalipa kisasi cha kupoteza fainali?. Bashiri sasa.
Naye Bibi Kizee cha Turin, Juventus atapepetana dhidi ya VFB Stuttgart ambaye amepasuka vibaya kwenye ligi akiwa ugenini. Juve ameshinda mechi zake mbili zote wakati VFB yeye akitoa sare mechi moja na kupoteza mechi moja. Mechi hii ina ODDS 1.96 kwa 3.72. Suka jamvi lako hapa.
Wababe wa ligi kuu ya Ufaransa PSG atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya PSV Eindhoven ya kule Uholanzi ambayo ina pointi moja pekee. Paris ya Enrique ina pointi 3 huku leo hii ushindi ukiwa ni muhimu kwake. Meridianbet wanampa PSG nafasi ya kuondoka mbabe leo akiwa na ODDS 1.29 kwa 8.40. Wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.
Sporting Lisbon ya kule Ureno itakuwa ugenini dhidi ya Sturm Graz ambaye amepoteza mechi zake zote mbili mpaka sasa. Lisbon anapendelewa kushinda mechi ya leo akiwa na ODDS 1.37 kwa 7.64. Je beti yako kwenye mechi hii unampa nani?. Bashiri sasa.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet