December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Piga pesa na mechi ya Jumatatu ya leo

 

Siku nyingine ya kutusua mkwanja na wakali wa ubashiri Meridianbet ni leo. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi siku ya leo.

Leo hii pale EPL kutakuwa na mechi moja kali sana kati ya mwenyeji Nottingham Forest VS Crystal Palace huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee. Palace yupo nafasi ya 18 na Forest yupo nafasi ya 12 kwenye ligi. Mara ya mwisho kukutana, walitoka sare kwenye michezo yote miwili. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.45 na 2.89. Jisajili hapa.

Jumatatu ya leo ni ya ushindi na Meridianbet ambapo, ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Pia LALIGA nayo kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka ambapo Valencia baada ya kutoa sare mchezo uliopita atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya UD Las Palmas ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Kila timu inahitaji ushindi hii leo kwa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo. Mechi hii ina ODDS 1.71 kwa 5.09. Bashiri sasa.

Ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea pia, KMC ugenini leo dhidi ya Fountain Gate ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi huku mechi ya mwisho akipoteza wakati Wanakino Boys wao walishinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.71 kwa 4.01. Suka jamvi hapa.

Mechi nyingine itakuwa majira ya saa kumi jioni ambapo Mashujaa wataumana dhidi ya KenGold ambao ndio vibonde wa ligi hii wakishinda mechi moja pekee kwenye michezo saba ambayo wamecheza. 1.62 kwa 5.48 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubashiri sasa.

Unaweza ukapiga pesa leo hii pia na ligi kuu ya Italia SERIE A ambapo hapa kuna mchezo mmoja Hellas Verona VS AC Monza ambaye ana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi akishika nafasi ya pili kutoka mwisho. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo nani ataibuka na pointi 3?. Mechi hii ina ODDS 2.37 kwa 3.33. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!