Leo hii nako pesa ipo nje nje yaani ni wewe tuuh ushindwe kupata ushindi leo. Ingia kwenye akaunti yako, Tengeneza jamvi la uhakika halafu weka dau na usubirie maokoto yako baada ya mechi.
Ligi kuu ya Italia, SERIE A itaendelea Lazio atakuwa uso kwa uso dhidi ya Empoli. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi huku zote zikiwa na pointi 10. Mwenyeji ametoka kushinda mechi yake iliyopita wakati mgeni yeye akitoa sare. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tengeneza jamvi hapa.
Nao AS Roma watakuwa ugenini dhidi ya AC Monza ambao wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Roma yupo nafasi ya 10 baada ya kushinda mechi yake iliyopita. Nafasi ya kushinda amepewa mgeni akiwa na ODDS 2.06 kwa 3.72. Nani kushinda leo?. Jisajili hapa.
ACF Fiorentina atakuwa mwenyeji wa AC Milan ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo na pointi zake 11, wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13 na pointi 7. Mechi ya mwisho kukutana, Milan alishinda. Fiorentina kulipa kisasi leo?. Bei mechi hii.
Jumapili ya kibingwa ni hii ya leo, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia LIGUE 1 kule Ufaransa itaendelea kama kawaida Olympique Lyon atakichapa dhidi ya FC Nantes ambao wapo nafasi ya 7 wakiwa na pointi zao 9. Lyon anashika nafasi ya 11 na pointi 7 huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa mwenyeji na ODDS 1.72 kwa 4.60. Beti yako unampa nani?. Suka jamvi hapa.
OGC Nice uso kwa uso dhidi ya PSG ya Luis Enrique ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Nice yupo nafasi ya 9 akiwa na pointi nane pekee. Mara ya mwisho kukutana, Paris alishinda. Leo nani kuchukua pointi 3. Suka jamvi lako hapa na ODDS ya 5.29 kwa 1.59.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet