December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Wikendi ya mkwanja wa maana imerudi

 

Mpendwa mteja wa Meridianbet, wikendi ndio hii inaanza leo ambapo ligi sasa inarejea huku ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yakiwepo hapa. Suka jamvi lako na ubashiri na Meridianbet leo.

Kule BUNDESLIGA, unaweza kusuka jamvi lako na mechi ya FC Augsburg dhidi ya Borussia Monchengladbach huku nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.35 kwa 2.69. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 huku mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda. Je mgeni anaweza kulipa kisasi leo?. Suka jamvi lako sasa.

Pia ligi ya Hispania, LA LIGA leo kuna mtanange mzito ambapo CD Leganes atamenyana dhidi ya Valencia ambaye alipoteza mchezo wake uliopita, wakati mwenyeji yeye aliambulia sare. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2020 ambapo mwenyeji alishinda. Je nani kuibuka mbabe leo katika dimba la Butarque huku ODDS zao zikiwa ni 2.94 kwa 2.74.  Mechi hii itapigwa saa nne usiku. Jisajili hapa.

Wikendi ya kibabe imewadia hapa, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Italia SERIE A pia mechi mbili zitaendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na ushindi ukiwa juu zaidi kabisa, Napoli atamkaribisha Como 1907 ambaye amepanda daraja msimu huu. Como ameshinda mechi zake mbili mfululizo huku vijana wa Conte wao wakishinda mchezo wao uliopita huku wakiwa wanaongoza ligi. Mechi hii ina ODDS 1.41 kwa 7.05. Bashiri hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Hellas Verona vs Venezia huku ndani za mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.50 na 2.94. Ikumbukwe kuwa timu hizi zimetofautiana pointi mbili pekee na mara ya mwisho kukutana, Verona alishinda. Beti yako unampa nani kati ya hawa wawili?. Suka mkeka wako sasa.

Vilevile ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 itaendelea kwa mchezo mmoja Olympique Marseille baada ya kupoteza mchezo wao uliopita, leo hii watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Angers ambao nao pia walipoteza. Hivyo zinakutana timu mbili ambazo hakuna anayetaka kupoteza mchezo wa pili mfululizo. Mechi hii imepewa ODDS 1.22 kwa 11.76. Jisajili hapa.

Ligi kuu daraja la kwanza kule Uingereza yaani CHAMPIOSHIP pia kuna mchezo mmoja ambapo Leeds United baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Sunderland ambao walishinda mechi yao iliyopita. Beti mechi hii yenye ODDS 2.89 kwa 2.40.

About The Author

error: Content is protected !!