Je unajua kuwa leo hii una nafasi kubwa ya kuondoka na mshiko wa uhakika ndani ya Meridianbet endapo utabashiri mechi zako za leo ambazo zina ODDS za kijanja.
Ligi kuu ya EPL leo kutakuwa na mechi mbili pekee ambapo mchezo wa maepma kabisa utakuwa ni kati ya wenyeji wa Brighton dhidi ya Nottingham Forest huku timu zote mbili zikiwa hazijapoteza mechi yoyote hadi sasa. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.70 kwa 4.60. Wewe beti yako unampa nani?. Beti hapa.
Na mtanange mzito leo hii pale Uingereza utakuwa majira ya saa 12:30 ambapo Manchester City atamualika kwake Arsenal huku mara ya mwisho walipokutana, walitoa sare. Pep Guardiola na Arteta wote wanataka ushindi mechi hii leo ambayo ndani ya mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet mechi hii imepewa ODDS 1.76 kwa 4.70. Jisajili sasa.
Vilevile LALIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo kadhaa ambapo Athletic Bilbao baada ya kushinda mechi yake iliyopita leo hii atamualika kwake Celta Vigo ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. 1.71 kwa 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Meridianbet inakupa nafasi ya kuondoka na mshiko wako leo ukibashiri mechi za Ijumaa ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Nao vinara wa ligi FC Barcelona watakuwa ugenini leo dhidi ya Villarreal ambao wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo akiwa ameshinda mechi zake 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana Barca alishinda. Lakini leo hii ambaye amepewa nafasi ya kushinda ni vijana wa Hans Flick wakipewa ODDS ya 1.73 kwa 4.11. Bashiri sasa.
Na mechi ya mwisho usiku huu itakuwa ni kati ya Rayo Vallecano dhidi ya Atletico Madrid huku tofauti ya pointi kati yao ni 4. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 huku vijana wa Diego Simeone wakiwa nafasi ya 3. ODDS za mechi hii ni 4.80 kwa 1.81. Tengeneza jamvi hapa.
Pia SERIE A leo kama kawaida mechi za maana zipo AC Monza atakuwa uso kwa uso dhidi ya Bologna majira ya saa 10:00 jioni huku timu zote zikiwa na pointi 3. Nafasi ya kuondoka kifua mbele ndani ya Meridianbet anapewa mgeni akiwa na ODDS 2.25 kwa 3.47. Wewe unampa nani?.Tengeneza jamvi hapa.
Vilevile baada ya AS Roma kufukuza kocha leo hii atakuwa mwenyeji wa Udinese Calcio ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana, Roma alishinda mechi zote mbili. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili hapa.
Na usiku kabisa leo kutakuwa na Milan Derby yaani ni Inter Milan vs AC Milan katika dimba la San Siro ambapo Simone Inzaghi na vijana wake walishinda. 1.71 na 4.50 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Meridianbet wanakwambia bado kuna hela unaweza kutengeneza kule BUNDESLIGA ambapo bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya VFL Wolfsburg ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Alonso na vijana wake wanapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.22 kwa 10.78. Beti sasa.
Pia VFB Stuttgart atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee mwenyeji ni wa 11 kwenye msimamo na mgeni ni wa 5. Mara ya mwisho kukutana, Borussia alipoteza. Leo atalipa kisasi?. Bashiri na Meridianbet sasa.
Naye RB Leipzig baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya ST. Pauli. RB anapewa nafasi ya kuchukua pointi 3 zote leo akiwa na ODDS 1.65 kwa 4.90. Tengeneza jamvi hapa.
LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi za kukata na shoka AS Monaco atapepetana dhidi ya Le Havre AC ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni nafasi ya 11. Mechi hii ina ODDS 1.35 kwa 8.03. Beti kijanja hapa.
Naye Angers atamualika Nantes nyumbani kwake kusaka pointi 3 ambapo nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa mgeni akiwa na ODDS 2.40 kwa 3.04. Mara ya mwisho kukutana, Nantes alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi, Suka mkeka hapa.
Saa 3:45 usiku Lyon atamkaribisha kwake Marseille ambaye anapewa kipaumbele kushinda mechi hii akiwa na ODDS 2.30 kwa 2.79. Mara ya mwisho kuonana, Lyon alishinda. Leo nani atashinda?. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet