August 9, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Ziara ya Dk. Tzeba Nanenane

Spread the love
WAZIRI wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk.Charles Tzeba akisalimiana na Ofisa wa bunge kitengo cha habari Zuhura Mtatifikolo (Aliyejifunga kilemba) katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Mjini hapa. Picha na Dany Tibason .
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk.Charles Tzeba(aliyeweka mikono mfukoni),akipata maelezo kutoka kwa Afisa habari wa Bunge Patson Asumwisye Sobha wakati wa maonesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni mjini hapa Bunge limesema kuwa haliwezi kujitenga na nanenane kwani sera,kanuni pamoja na sheria za kilimo utungwa Bungeni. Picha na Dany tibason .
error: Content is protected !!