July 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

‘Zahanati Potea haikufuata ramani’

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe

Spread the love

UJENZI wa Zahanati ya Kijiji cha Potea, Kata ya Pahi katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ulianzishwa kwa nguvu ya wananchi takiribani miaka 10 iliyopita. Anaandika Dany Tibason … (endelea).

Mbali na kujengwa kwa miaka 10, jengo hilo limechelewa kukamilika kutokana na kujengwa bila kuzingatia ramani iliyopitishwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalum, Moza Saidy (CUF).

Mbunge huyo alitaka kujua ni lini jengo la Zahanati ya Petea litamalizika ili wananchi wapate huduma bora za afya katika zahanati hiyo tofauti na ilivyo sasa.

Akijibu swali hilo Dk. Kebwe amesema, ramani ya jengo hilo ilikuwa na upungufu kadhaa ikiwemo ukosefu wa chumba cha wajawazito kujipumzisha baada ya kujifungua.

Amesema, tatizo lingine ni ukosefu wa choo na bafu  katika chumba cha kujifungulia pamoja na ukosefu wa chuo cha uzazi wa mpango na ushauri nasaha kwa upimaji wa VVU .

UJENZI wa Zahanati ya Kijiji cha Potea, Kata ya Pahi katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ulianzishwa kwa nguvu ya wananchi takiribani miaka 10 iliyopita. Anaandika Dany Tibason…(endelea).

Zahanati hiyo amesema haikuwa na chumba cha kutolea chanjo na sehemu ya kutunza jokofu la chanjo, chumba cha stoo ya kuhifadhia vifaa vikiwemo vile vya usafi na chumba cha mapumziko mafupi kwa wagonjwa waliozidiwa.

error: Content is protected !!