September 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Waziri Mkuu Uingereza akutwa na corona

Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza

Spread the love

BORIS Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza, amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona (COVID19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea).

Taarifa kutoka kwenye ofisi yake zimeeleza, kiongozi huyo alichukuliwa vipimo baada ya kuwa na dalili za awali za maambukizi ya virusi hivyo.

Yeye mwenyewe ameeleza kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba, ataendelea kuongza taifa hilo wakati akiendelea kupatiwa matibabu.

Miongoni mwa dalili za awali zilizomsukuma kufanya vipimo amesema, joto la mwili wake lilipanda ikiwa ni pamoja na kukohoa mfululizo.

error: Content is protected !!