HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea wa Ubunge katika majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakitupwa nje na majina mapya yakichomoza kupeperusha bendera ya CCM katika majimbo hayo. Anaandika Erasto Stanslaus … (endelea).
Katika kikao hichokilichoanza juzi na kumalizika jana mjini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, kimeteua majina hayo ya wabunge na wale wa viti maalumu, huku majimbo 10 yakirudia uchaguzi wake wa kura wa maoni kutokana na kasoro mbalimbali.
Kusoma majina kamili ya wanachama wa CCM walioteuliwa kugombea nafasi ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 ulipangwa kufanyika 25 Oktoba, 2015, INGIA HAPA.
mbona mbinga mjini haijarudiwa? kuna kata hawajapga kura kabisa.Iko wapi haki???????????????