Tuesday , 5 December 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Wagombea ubunge CCM hawa hapa
Habari za SiasaTangulizi

Wagombea ubunge CCM hawa hapa

Spread the love

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Majina hayo ya majimbo 264 yametangazwa mbele ya waandishi wa habari makao makuu ya CCM, Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

Pia, majina matatu ya viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) kutoka kila mkoa nchi nzima.

Katika orodha hiyo ya wabunge wa majimbo, imeshuhudia baadhi ya wabunge waliokuwa wakitetea nafasi zao wakishindwa.

WATEULIWA CCM

ARUSHA

Arusha mijiniMrisho Mashaka Gambo

Arumeru Magharibi– Noah Lebrus Molel

Arumeru Mashariki– John Palangyo

Karatu– Daniel Tlemai

Longido– Stephen Kirusya

Monduli– Fred Lowassa

Ngorongoro– Ole Nasha

DAR ES SALAAM 

Ubungo– Prof Kitila Kitila

KibambaIssa Jumanne Mtemvu

KinondoniAbass Tarimba

KaweAskofu Josephat Gwajima

KigamboniDr. Faustine Ndugulile

IlalaMussa Zungu

SegereaBonna Kamoli

Ukonga– Jerry Slaa

TemekeDoroth Kilave

Mbagala– Abdallah Chaurembo

DODOMA

BahiKeneth Nolo

ChamwinoDeo Dejembi

Mvumi– Livingstone Lusinde

Chemba– Mohammed Moni

Dodoma Mjini– Anthony Mavunde

Kongwa– Job Ndugai

Kondoa mji– Ally Juma Makoa

Kondoa VijijiniDr. Ashatu Kijaji

Kibakwe– George Simbachawen

Mpwapwa– George Nataly Malima

GEITA

BusandaTumaini Magesa

Geita MjiniConsatantine Kanyasu

Geita vijijini– Joseph Kasheku(Musukuma)

BukombeDotto Bisheko

ChatoMedard Kalemani

MbogweNicodemas Maganga

Nyang’alwe– Hussein Amar

IRINGA

Iringa MjiniJesca Msavatambangu

Kalenga– Jackson Kiswaga

Isimani– William Lukuvi

Kilolo– Lazaro Nyamoga

Mafinga mjiCosato Chumi

Mufindi KaskaziniExaud Kigahe

Mufindi Kusini– David Kihenzile

KAGERA

Bukoba mjini– Stephen Byabato

Bukoba vijijini– Jackson Rweikiza

NkengeFrolent Kyombo

Karagwe– Innocent Bashungwa

Kyerwa– Innocent Bilakwate

NgaraNdaisaba Luhoro

Bihalamuro– Ezra Chiwelesa

Muleba KaskaziniCharls Mwijage

Muleba Kusini– Oscar Kikoyo

KATAVI

MleleIsack Kamwele

KavuuGeophrei Mizengo Pinda

Mpanda Mjini– Sebastian Kapufi

Nsimbo– Anna Lupembe

Mpanda Vijijini– Moshi Kakoso

KIGOMA

Kasuli Mjini– Prof. Joyce Ndalichako

ManyovuDr. Philip Mpango

BuyunguAloyce Kamamba

MuhambweAtashasta Nditiye

Kigoma MjiniKirumbe Shabani Ng’enda

Kigoma KaskaziniAsa Nelson Makanika

Kigoma KusiniNashon William

Kasulu vijijini– Augustine Hole

KILIMANJARO

VunjoCharls Kimei

Siha- Dr. Godwin Mollel

Moshi VijijiniProf. Patrick Ndakidemi

Hai- Salasisha Mafue

Same Mashariki– Anne Kilango Malecela

Same MagharibiDr. Mathayo David Mathayo

RomboProf. Adolf Mkenda

Moshi MjiniPriscus Tarimo

MwangaAnania Tadayo

LINDI

Kilwa KaskaziniNdulane Franscis

Kilwa KusiniKasinge Mohammed Ally

LiwaleZuberi Kuchauka

Lindi MjiniHamida Mohammed Abdallah

Mchinga– Salma Kikwete

Mtama– Nape Nnauye

NachingweaAmandus Julius Chinguiye

RuangwaKassim Majaliwa

MANYARA

Babati Mijini– Paulina Gekul

Babati vijijini– Daniel Silo

HanangSamwel Kadai

Mbulu mji– Isai Paulo

Mbulu vijijiniFlatei Gregory

Kiteto– Edward Kisau

SimanjiroChristpher Ole Sendeka

MARA

Musoma MjiniVedastus Manyinyi

Musoma VijijiniProf. Sospeter Muhongo

Bunda Mjini– Robert Chacha Maboto

Bunda Vijijini– Boniface Getere

MwibaraCharls Kajege

ButiamaJumanne Sagini

RoryaJaffary Wambura Chege

Tarime MjiniMwita Michael Kembaki

Tarime VijijiniMwita Waitara

Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi

MBEYA

BusekeloAtupele Mwakibete

Kyela– Ally Jumbe

LupaMasache Kasaka

MbalaliFranscis Mtega

Mbeya Mjini– Dk. Tulia Akson

Mbeya Vijijini– Oran Njeza

Rungwe– Anthony Mwantona

MOROGORO

Mlimba– Godwin Kunambi

KilomberoAbubakar Asenga

Morogoro mjiniAbdulAziz Abood

Gairo– Ahmed Shabiby

Malinyi– Antipas Mgungusi

Morogoro Kusini– Innocent Kalogeres

Morogoro MasharikiHamis Shaaban Taletale

Mvomero– Jonas Vanzilad

MikumiDeniss Lazaro Londo

KilosaProf. Palamaganda Kabudi

Ulanga– Salim Hasham

MTWARA

Mtwara MjiniMtenga Hassan Selemani

Mtwara VijijiniHawa Ghasia

Nanyamba– Abdallah Chikota

TandahimbaKatani Katani

Newala mjini– George Mkuchika

Newala VijijiniMaimuna Mtanda

MasasiGeofrey Mwambe

LulindiIssa Mchungahela

Ndanda– Cecil David Mwambe

NanyumbuYahaya Ali Mhata

MWANZA

Ukerewe– Joseph Mkundi

IlemelaDkt. Angelina Mabula

SengeremaTabasamu Hamis Mwagao

Buchosa– Erick Shigongo James

NyamaganaStanslaus Mabula

Misungwi– Alexander Mnyeti

SumveKasalali Emmanuel Mageni

KwimbaShanif Mansour

Magu– Bonaventura Kiswaga

Mkoa wa Njombe
LUPEMBE – Edwin Enos
NJOMBE MJINI -Deodatus Mwanyika
MAKAMBAKO – Deo Sanga
MAKETE – Festo Richard
WANGING’OMBE – Dkt Festo John
LUDEWA – Kamonga Joseph

TABORA
IGUNGA – George Ngassa
MANONGA – Seif Gulamali
TABORA KASKAZINI – Almasi Maige
IGALULA – Daud Protas
TABORA MJINI – Emmanuel Mwakasaka
NZEGA MJINI – Hussein Bashe
NZEGA VIJIJINI – Hamiss Kigwangalla
BUKENE – Jumanne Zedi
KALIUA – Aloyce Kwezi
ULYANKURU – Rehema Migira
URAMBO – Margaret Sitta
SIKONGE – Joseph Kakunda

SHINYANGA
SHINYANGA MJINI – Patrobas Katambi
SOLWA – Ahmed Ally
KAHAMA MJI – Jumanne Kishimba
USHETU – Elias Kwandikwa
MSALALA – Iddi Kassim
KISHAPU – Boniface Nyangindu

SIMIYU
BARIADI – Andrea Kundo
BUSEGA – Simon Songe
ITIRIMA – Njalu Silanga
MASWA MAGHARIBI – Mashimba Ndaki
MASWA MASHARIKI – Nyongo Stanslaus
KISESA – Luhaga Mpina
MEATU – Leah Komanya

SINGIDA
SINGIDA MASHARIKI – Miraji Mtaturu
SINGIDA MAGHARIBI – Elibariki Kingu
MANYONI MASHARIKI – Dkt Steven Chaya
MANYONI MAGHARIBI- Yahaya Omary
IRAMBA MASHARIKI – Francis Mtinga
IRAMBA MAGHARIBI – Mwigulu Nchemba
SINGIDA MJINI – Mussa Sima
SINGIDA KASKAZINI – Ramadhani Ihondo

SONGWE
ILEJE – Eng Godfrey Msongwe
MBOZI – George Mwenisongole
VWAWA – Japhet Hasunga
TUNDUMA – David Silinde
MOMBA – Kondesta Michael
SONGWE – Philipo Mlugo

TANGA
BUMBULI – January Makamba
MUHEZA – Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
TANGA MJINI – Ummy Mwalimu
KOROGWE MJINI – James Kimeya
KOROGWE VIJIJINI – Paul Mzava
PANGANI – Jumaa Aweso
LUSHOTO – Shabaan Shekilindi
HANDENI MJINI – Reuben Kwagira
HANDENI VIJIJINI – John Saru
KILINDI – Mohamed Kigua
MLALO – Rashid Shangazi
MKINGA – Dastan Kitandula

8 Comments

  • Hongera kwa kazi kubwa Mh Rais DR.John Pombe Joseph Magufuli
    Hakika nchi hii unaitengeza, Mungu akubariki sana pamoja na kamati kuu na CCM kwa ujumla mmeamua kutengeneza utumishi uliotukuka

  • hakika nimeridhika na mchakato uliofanyika, naamin waliopita hawawez kwenda kulala bungeni, mda wote watajitahid kuwa wapambanaji nasio waunga hoja,,,,,!

  • Tunaamini ktk maamuz yaliyo fanyika.kikubwa sasa Ni kuingia kazini Ili majimbo yote tuchukue

  • mossyfimbo@gmail.com
    Hakika Rais wetu mpendwa unastahili pongezi kwa jinsi unavyojitoa kwa ajili ya Watanzania umefanya kazi nzuri mno unastahili pongezi wanaokubeza ni wachache saana kwani huwezi kupendwa na kila mtu wewe sio Pesa. Hongera sana pamoja na wasaidizi wako nakuombea kwa Mwenyeezimungu azidi kukupatia maono ili Watanzania woote tufaidi matunda ya kazi yako na Mungu azidi kukubariki ushinde zaidi ya kushinda na kura za ushindi zimwaike na kusukwa sukwa kwa Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo
    Milele Amina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Baba yake Ole Sabaya ashinda Uenyekiti CCM – Arusha

Spread the loveLoy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa...

Habari za Siasa

Serikali yaagiza uchunguzi chanzo maporomoko Hanang

Spread the loveSERIKALI imeagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini chanzo cha maporomoko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Maafa Manyara: Rais Samia akatisha ziara yake Dubai

Spread the loveRAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekatisha ziara yake...

Habari za SiasaTangulizi

Wataalaam wa miamba watua Hanang

Spread the loveWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na...

error: Content is protected !!