March 6, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

Mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

Spread the love

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama hicho zinaweza kusababisha machafuko, anaandika Faki Sosi.

Riziki ambaye ni Mwanadiplomasia amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam kwenye  Ofisi ya wabunge wa Chama hicho kuwa  hujuma zilizofanywa makusudi  na watendaji wa Serikali ambao waliwajibika kulinda haki na Demokrasia

TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA

error: Content is protected !!