August 10, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Vyuo vitano vyafutwa

Spread the love

 

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kufunga na kuvifuta vyuo vitano kwenye orodha ya Vyuo vya Ufundi nchini, anaandika Pendo Omary.

 Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Mhandisi Steven Mlote, Mwenyekiti wa NACTE amesema, hatua hiyo imefikiwa ili kutokana na kutokidhi viwango sambamba na kuboresha viwango vya elimu nchini.

“Baraza limetengaza kuwa vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria vimepewa muda wa wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja kwenye baraza hilo kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

“Vilevile, vibali vya usajili wa vyuo 112 vya kutoa elimu ya ufundi vimefikia ukomo hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya Usajili; wakati  vyuo 57 vimefikia ukomo wa ithibati, hivyo inapaswa kutekeleza masharti ya ithibati,” amesema.

Mlote amesema, baraza limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo 112 kutekeleza masharti ya usajili na vyuo 52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa mujibu wa sheria za uendeshaji vyuo vya ufundi nchini na vyuo vitakavyoshindwa kutekeleza agizo hili vitafungiwa mara moja.

“Vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa muda wa wiki mbili vijisajili mara moja kwenye baraza kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria,” amesema.

Jedwali I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa Usajili

NA. CHUO
State College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam
Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam
Tabitha College – Dar es Salaam (formerly: Thabita Vocational Training College – Dar es Salaam)
Financial Training Centre – Dar es Salaam
TMBI College of Business and Finance – Dar es Salaam

 

Jedwali II: Vyuo ambavyo Havijasajiliwa na vinavyoendesha Programu zisizo na Kibali cha Baraza

 

NA. CHUO
1. King Solomoni College – Arusha
2. Avocet College of  Hotel Management – Arusha
3. Kewovac Nursing Training Centre – Mbagala, Dar es Salaam
4. St. Family Health Training Institute – Mbagala, Dar es Salaam
5. Bethesda Montessori Teachers Training College – Arusha
6. Green Themi Teacher’s College & Green Themi Institute of Tourism
7. Mainland Institute of Professionals – Arusha
8. St. David College of Health – Dar es Salaam
9. Islamic Culture School – Dar es Salaam
10. Tanzania Education College – Dar es Salaam
11. Macmillan Training College – Dar es Salaam
12. Tanzania International University (TIU) – Dar es Salaam
13. Dodoma College of Business Management – Dodoma
14. Faraja Health and Emergencies – Mbeya
15. St. Joseph College – Mbeya
16. St. Peter Health Management – Mbeya
17. Kapombe Nursing School – Mbeya
18. Uyole Health Institute – Mbeya
19. Josephine Health Institute – Mbeya
20. Institute of Public Administration – Chake chake Pemba
21. Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies – Vuga, Unguja, Zanzibar and Chake Chake, Pemba, Zanzibar
22. Zanzibar Training Institute, the Professional College of Information Technology, Languages and Business Studies – Mwera Meli Sita Unguja  Zanzibar
23. Azania College of Management – Raha Leo, Zanzibar
24. Time School of Journalism – Chakechake, Pemba
25. Residence Professional College – Mombasa, Zanzibar
26. Mkolani Foundation Organisation – Mwanza
27. Kahama College of Health Sciences – Kahama
28. Institute of Adult Education-Mwanza Campus – Luchelele Site
29. Zoom Polytechnic – Bukoba
30. Johrow Star Training College – Shinyanga
31. St. Thomas Training College – Shinyanga
32. Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication DMSJ – Bukoba
33. Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Mwanza
34. Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Geita
35. Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Simiyu
36. Harvest Institute of Health Sciences – Mwanza
37. Singin International – Bukoba
38. College of Business Management – Mombasa, Zanzibar
39. Tanzania Star Teachers College – Chakechake, Pemba, Zanzibar
40. Tanzania Star Teachers College – Unguja, Zanzibar
41. St. Mary’s International School of Business – Sumbawanga

 

Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini Vinatoa Programu zisizo na Kibali cha Baraza

NA. CHUO PROGRAMU
1. AP and Prime College of Business Studies – Dar es Salaam Medical Attendant
Nursing Assistant
2. Universal College of Africa – Dar es Salaam Banking and Finance
Business Administration
Clearing and Forwarding
Airfares
Information and Communication Technology
Nursing
Hotel Management
Secretarial Course
Procurement and Supplies
3. Professional Skills Development International  (PSDI-CENTRE) Centre – Bagamoyo Offering Non-NTA programmes (Various Short Courses)
4. Ruter Institute of Financial Management – Mwanza Accountancy
Procurement and Supply
Banking and Finance
ICT
  5. Mwanza Polytechnic College – Maswa Ordinary Diploma in Early Childhood Education
      6.

 

Royal College of Tanzania – Dar es Salaam Law
  7. Belvedere Business and Technology College – Mwanza Accountancy
  8. Chato College of Health Sciences and Technology – Chato Pharmacy
9 St. Glory College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam Medical Attendant

 

10. Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam Computer Science

 

11. Zanzibar Technology College – Zanzibar Computer Science

 

error: Content is protected !!