August 9, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Vigogo NMB wamtembelea katibu mkuu elimu

Spread the love

AFISA Mtendaji Mkuu wa NMB nchini Tanzania, Ruth Zaipuna ameongoza ujumbe wa benki hiyo kumtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Eliamani Sedoyeka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea).

Ujumbe huo ulimtembelea Profesa Sedoyeka hivi karibuni ofisini kwake jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Eliamani Sedoyeka (kushoto) akizungumza na Ujumbe wa Benki ya NMB, uliyoongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna (kulia) walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma. Wapili kulia ni Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi.

Mbali na Ruth, mwingine ni Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi.

error: Content is protected !!