July 31, 2021

Uhuru hauna Mipaka

UKUTA moto

Spread the love

GIZA limetanda nchini kufuatia Serikali ya Rais John Magufuli kujiapiza kupambana na “Operesheni UKUTA,” anaandika Josephat Isango.

Taarifa kutoka serikalini zinasema, mkakati umepangwa wa kuhakikisha waratibu na watekelezaji “Operesheni UKUTA” wanakabiliwa kwa kipigo na vyombo vya dola. Mtoa taarifa za ndani wa gazeti hili amesema.

Soma gazeti la MwanaHALISI kila Jumatatu kwenye simu yako kupitia, (bonyeza)> Mpaper kwa wateja wa Vodacom pia (bonyeza)> Simgazeti kwa wateja wa Vodacom, Tigo na Airtel. Pia unaweza kupakua (download) app ya Mpaper au Simgazeti kutoka kwenye playstore.

Nunua gazeti la MwanaHALISI la leo kwa habari zaidi.

error: Content is protected !!