May 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Uislam wamponza Mwinyi

Spread the love

 

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema mwaka 1993, ulizushwa uongo kwamba kwa kuwa yeye ni Muislam, serikali yake iliunga mkono vijana wahuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Vijana hao ni waliovunja maduka ya kuuza nyama ya nguruwe jijini Dar es Salaam na kupiga vita uuzaji na unywaji pombe katika …..

Kwa habari kamili soma gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 12 Mei 2021.

error: Content is protected !!